YANGA YA ENG. HERSI

YANGA YA ENG. HERSI

Share

Professional football player from Burundi.

22/05/2026

Yes ni Allan Okello ndani ya ubora wa hali ya juu sana. Wale wachambuzi walotaka kuaminisha watu ujinga sijui wanajisikiaje πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wachambuzi wa Tz wanachambua zaidi matokeo hawachambui mpira πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

SISI NDIO YANGA πŸ”°πŸ’›πŸŸ’πŸ’š

21/05/2026

Kwa kutumia mapenzi yao na makasiriko yao wameshaharibu AFCON nzima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Na watajuta kucheza na hisia za wanaYanga. Wanapambana kuishusha Yanga ili waipandishe timu yao.
Fikiria timu za ligi kuu zipo 30 mechi za ligi kuu na crdb zipo zaidi ya 50 lakini kwa kutumia ushabiki na kukosa akili wameona cha kuonesha ni goli la timu yao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

K**a alienda k**a mwandishi ilitakiwa achukue magoli hata kumi kwenye ligi then amuulize mgeni ni lipi goli lako bora atleast tungemuona ana akili. Ko kesho akienda mtangazaji wa Yanga kumuhoji mgeni aende na bango la zile goli tano tulowafunga au aende na bango la mara sita tulizowafunga.

Kwa kifupi ni kwamba hawawezi kuficha mapenzi na timu zao ndio wana haribu mpira.

AFCON wameshaiharibu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

SISI NDIO YANGA πŸ’šπŸŸ’πŸ’›πŸ”°

20/05/2026

Kila siku nawaambia Wananchi mnatakiwa mjipongeze sana kwa kuwa watu wa soka na hili ndio linafanya mnaendelea kuwa timu tushio hapa nchini.
Ni kwa sababu mashabiki wa Yanga ni watu wa soka na kwa hakika tunastahili pongezi. Watu wa soka wanajuwa kutofautisha mapenzi na mpira.
Wapo wachambuzi wengi ni mashabiki wa Yanga, wapo watangazaji wengi ni mashabiki wa Yanga, wapo viongozi wengi wa nchi na mpira ni mashabiki wa Yanga lakini ni watu wanaojielewa na wanajuwa football ni nini na wanajuwa kutofautisha kati ya mapenzi na timu na majukumu walopewa.
Kitu kinachowasumbua wenzetu wa WACHAWI FC ni kutokujielewa na sio watu wa football. Pia ni watu wasiojielewa na hawawezi kutofautisha kati ya mapenzi na timu yao na kazi wanazopewa.

Ni ngumu sana kiongozi ambaye ni shabiki wa Yanga kuona akiipendelea Yanga au kumuona mtangazaji ambaye ni shabiki wa Yanga akiongea uongo kuhusu wachawi fc. Kwa sababu mashabiki wa Yanga wanajielewa.
Sasa hivi waziri wa michezo ni mtu wao, naibu mtu wao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…ni wiki ilopita mliona timu haijulikani kiongozi ni nani, timu haina makao makuu, timu haijabeba kombe lolote mwaka wa tano huu lakini cha ajabu ndio tibu bora πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… we hushangai πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na leo tena wamerudia yale yale jambo la kitaifa wameleta ushabiki cha ajabu wameua hata lile lengo lilomleta huyo mgeniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna siku niliwaambia viongozi bora wa nchi hii ni mashabiki wa Yanga tuu. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wananchi tujiandae kuona ujinga mwingi maana wao mashabiki wao ndio wameshika wizara. ujinga mwingi utafanyika πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…uzuri wataumbuka tuu. Wametumia pesa nyingi alafu yamebuma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

SISI NDIO YANGA πŸ”°πŸ’›πŸŸ’πŸ’š

13/05/2026

Na hii ndio football. Ukiona timu ipo unbeaten usiidharau wala kuona ni kazi ndogo.
Vivyo hivyo ilikuwa ni ngumu sana kushinda mechi zote 30 bila kupoteza. Ndicho kilichotokea. Lakini bado tupo pale juu ya msimamo wa ligi na tunaongoza kwa points tano. Tunawapongeza Dodoma jiji kwa mchezo mzuri. Focus yetu ni mechi inayofuata πŸ’š

SISI NDIO YANGA πŸ’šπŸŸ‘πŸ”°πŸŸ’πŸ’›

13/05/2026

Siku nyingine ya kuwakera wachambuzi wa efu kumi kumi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

SISI NDIO YANGA πŸ’›πŸŸ’πŸ”°πŸŸ‘πŸ’š

09/05/2026

Atafunga sana. Huyu ndio star wa ligi yetu kwa sasa. Hakuna kiungo mshambuliaji bora k**a huyu πŸ’šπŸ’š

SISI NDIO YANGA πŸ’šπŸŸ‘πŸ”°πŸŸ’πŸ’›

08/05/2026

Sasa sijui nao azam wameuza mechi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…fikiria azam ya Ibenge imeshushiwa kipigo cha mbwa mwizi na tra πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…je hapa napo wameuza mechi. Tumezoea kusikia hivyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ndio maana nasemaga ukisikia makelele ya Yanga kanunua mechi ujuwe ni sukari tuu imewapanda watu hakuna kingine. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Anyway mwanaume ni mmoja tuu ambaye hajafungwa na hatarajii kufungwa. Tukutane kmc hapo kesho. πŸ’›

SISI NDIO YANGA πŸ’›πŸŸ’πŸ”°πŸŸ‘πŸ’š

08/05/2026

Mechi yetu inayofuata πŸ’š

SISI NDIO YANGA πŸ’šπŸŸ‘πŸ”°πŸŸ’πŸ’›

07/05/2026

Wamelikimbia shamba lao la mpunga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…maisha yanaenda kasi sana. Kwa mtu aliyefika Tanzania kwa hii wiki moja tuu yaani kuanzia alhamisi ilopita mpaka leo tayari ameshagundua kuwa Ile timu ina mbumbumbu wengi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Huwezi amini huu uwanja walisema ni uwanja mzuri tena hauna shida tena wakasema ni uwanja wa kimataifa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…cha ajabu ndani ya wiki moja hawana hamu napo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sisi tulienda kuchukua mazoezi tukaona uwanja ni shamba la mpunga ni bahari tukatoa maoni yetu wakaja juu cha ajabu wao nao wamekubali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ukiona uwanja yanga hautaki ujuwe uo sio uwanja ni shamba la mpunga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

SISI NDIO YANGA πŸ’›πŸŸ’πŸ”°πŸŸ‘πŸ’š

06/05/2026

Asante kocha pedro πŸ’›

SISI NDIO YANGA πŸ’šπŸŸ‘πŸ”°πŸ’›πŸŸ’

06/05/2026

Achaneni na watu wenye makasiriko hakuna penati yoyote walionyimwa na hakuna penatu yoyote alofanya Boka.
Boka amepiga mpira yule beki kajidondosha mwenyewe akitaka advantage. Hakuna penati pale ila kwa sababu kuna watu wana makasiriko watalialia tuu kutia huruma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kombe halipatikani kwa kutia huruma sisi tunaendelea kukusanya point zetu za ubingwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Narudia tena hakuna penati waambieni azam tv wawape picha ya mbele na sio nyuma, Boka ameupiga mpira πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

SISI NDIO YANGA

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Bujumbura?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Bujumbura