10/02/2026
Habari mbaya kutoka 😭😭😭😭🇧🇮 TANGAZO LA KIFO
Mganga Gilbert wa Zahanati Kwizera ya Rumonge amefiliwa na watoto wake wawili kutokana na ajali ya pikipiki walipokuwa wanatoka shule mchana wa jumatatu hii.
Mungu awapumzishe pema watoto hao. Nao wazazi Mungu awape subira.
Habari hiyi imeletwa kwetu na muandishi wetu