30/12/2025
tare 4
Morocco vz Taifa starts
Yapi maoni yako je tutatobowa🥱
Michezo na Burudani
30/12/2025
tare 4
Morocco vz Taifa starts
Yapi maoni yako je tutatobowa🥱
30/12/2025
: Hongera Tanzania kwa kutinga hatua ya 16 bora kwenye fainali za
FT: Tanzania 1-1 Tunisia
Saa 4:00 usiku ni Benin dhidi ya Senegal na Botswana dhidi ya DR Congo.
27/12/2025
Huyu ni kabila gani
27/12/2025
😘😘
Simba anaenda kufyeka kichaka ambacho Yanga wamekuwa wakijivunia kwa Siku za karibuni CAF Confederation Cup.
Simba anaenda fainali katika michuano hii ambayo baada ya msimu huu haitakuwepo tena .
Yanga walifika fainali hawakutwaa taji lakini Hadi leo wanatamba na medali za fainali ....Siku zote kwenye Soka mafanikio ni Ubingwa tuu hakuna mshindi wa pili Wala Nini k**a ukipoteza fainali wewe ni Nothing.
Tangu mwanzo wa msimu huu niliwambia hapa Simba hakuna wa kumzuia kwenda fainali CAF Confederation Cup na kubeba kombe hili si RS Berkane wale USM Alger.
👉SIMBA ANAENDA FAINALI MSIMU HUU KATIKA MICHUANO YA CAF CONFEDERATION CUP NARUDIA TENA KOMBE LA CAF TANZANIA LITATELETWA NA BABA WA SOKA LA BONGO SIMBA TUUU WENGINE WASINDIKIZAJI TUU.
06/04/2025
The Special One Edna Lema kazini 🤩🤩
06/04/2025
🚨 Klabu ya Simba SC inaamini mchezo wake na Al Masry wapo watu ambao wamekunja nafsi zao sasa ili kuondoa hilo katika mchezo huo wamempa mualiko maalumu Mtumishi wa Mungu, Mtume Boniface Mwamposa (Buldoza) kuwa sehemu ya mchezo huo wa kufuzu hatua ya Nusu Fainali Aprili 9, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
“Safari hii tumedhamiria Ubaya Ubwela na tunamualika kila mtu mwenye mchango mkubwa kwenye jamii hii, wacahwi wengi ndugu zangu, kuna watu wamekunja nafsi kwelikweli. Kwa mantiki hiyo namtangaza mgeni mwingine maalumu Mtume Boniface Mwamposa (Buldoza). Tunafanya mazungumzo naye pia ikiwezekana kesho tukawauzie waumini wake tiketi.”-
-Amesema Semaji Ahmed Ally akiongea na Wanasimba wa Ukonga Mazizini.
06/04/2025
Kocha Edna Lema amefika kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza hapa KMC Complex na kupokelewa na Kocha Mkuu Miloud Hamdi
04/04/2025
Leo hii ndio mwisho wa uchungu wako😭😭😭Mungu akubadilishie Historia TBCTBConlineYoung Africans Sports ClubnTan footballhEthiopian AirlinesgLigi KuuoSport tz
04/04/2025
Katikati ya kinachoitwa Utimamu mkubwa wa Orlando Pirates kuna huyu mtu! Alishawahi kuwepo nchini akiisaidia Yanga kufika fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika!
Ni mtu sana huyu kwenye eneo lake✅
Mnamkumbuka!?