Mchezo ulikwishakuanza!
Pamba Jiji Football Club
Karibu Official Page ya Pamba Jiji Football Club ll Mabingwa Ligi ya Muungano 1990 ll Mabingwa wa CAF U17. Makazi ya Klabu ni Mwanza, Tanzania.
05/05/2026
Namna tunavyoingia leo kukabiliana na Chui Mweusi! ✅ 🔥
Tumeshafika uwanjani! ✅ 🔥
05/05/2026
MATCH DAY 🚨
01/05/2026
Happy Workers' Day! ✅
30/04/2026
Watoto wa shule wametii amri! ✅
Alama 3 kibindoni tukiwa ugenini. Twendeni tukale nyama choma sasa 😀
30/04/2026
Mapumziko! ✅
🤣🤣🤣🤣
28/04/2026
Up Next! ✅
17/04/2026
Mchezo umemalizika!
11/04/2026
Mbio zetu kwenye CRDB FEDERATION CUP 2025/26 zimeishia hapa. Tunawashukuru kwa ushirikiano wenu. Tukutane Ligi Kuu.
10/04/2026
Tugange yajayo! Tunawafuata Coastal Union! 🔥