๐—ฅ๐—ฎ๐˜‡๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐˜† ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น

๐—ฅ๐—ฎ๐˜‡๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐˜† ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น

Share

Razzboyofficial.com//๓ฑข
Musician
โ€ข||โ€ข500๐ค ๐Ÿ๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ๐ž๐ซ๐ฌโ˜†
https://youtube.com/@razzboyofficial3508
l ๊™ฐ โ˜† ๐ƒ๐Œโ€ข||โ€ข Humble bt silent mover๐ŸŽฏ

11/06/2026

๐ŸคI forgot the spelling of "Pilot" during an exam. So I wrote "Taxi drivers of an Aeroplane ๐Ÿ˜นโœŒ๏ธ๐Ÿ˜๐Ÿซต

11/06/2026

๐ŸคTANGU NIMALIZE SHULE CJAWAI ONA RHOMBUS NA PARALLELOGRAM๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿ’”๐Ÿซต

11/06/2026

Imagine ๐Ÿ˜ซ Jana nikitoka Town job nikasema wacha nibebwe na Nissan instead ya bus ๐ŸšŒ, Sasa vile gari ilianza kumove kuna huyu mama alikuwa amekaa hapo mbele akaanza kupea Dere story ๐Ÿ˜Š vile mama fulani alipatwa na bwanake kwa nyumba wakiwa na jamaa kufulani ...kufika hapa kwa jamaa gari ikafika kwa stage ya kwetu ๐Ÿ’” makanga akaniuliza madam si umefika ๐Ÿ˜Ÿ . nikamjibu "wacha nishukie stage next nikamuongezea chwani yenye nilikuwa nayo ...si mnajua uchungu ya kuwachia story nusu ๐Ÿ˜ข. So gari ikaanza kumove sasa yule mama nikangoja aendelelee bahati mbaya simu yake ikapigwa ๐Ÿ“ฑ akaanza kuongea aliongea akaongea mpaka nikafika next stage ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ˜‘ makosa sana ๐Ÿ˜ญ ๐Ÿ˜ญ hivyo ndivyo nilishuka nikarudi mguu juu sikuwa na pesa ingine ya kuboard matatu ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ’” ....next time ttukiingia gari moja uanze story make sure umeimalizia ๐Ÿ’”....
#๐’๐’Š๐’ˆ๐’ˆ๐’‚




11/06/2026

๐Ÿคshida sio kugongewa ,shida ni ujue unagongewa Hadi mwenye anakugongea ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜”๐Ÿค”๐Ÿ’”๐Ÿซต

11/06/2026

๐Ÿคsafaricom wanapea hadi bubu offers za tubonge๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿซต

11/06/2026

๐ŸคNa nikikuambia take care namanisha us*d*nyw* msichana, ๐Ÿ˜๐Ÿคช๐Ÿ˜†๐Ÿซต

11/06/2026

๐ŸคSasa tunapigana na unanipiga kofi ya uso,ntakuona aje?๐Ÿณ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜๐Ÿซต

10/06/2026

๐ŸคKuambia wengine wamove on ni rahisi ngoja sasa time yako ๐Ÿ’”๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿซต

10/06/2026

Phone rings.
Dem: hello beibeee where are you?
Boy: Niko hotelini nakula lunch,I will be there after 30mins.
Dem: sawa but make sure unaniletea lunch okey?
Boy: sawa ungependa nikuletee Nini mpenzi?
Dem: chipoo na ikue na tomato,smokii, ugali kiazi na sukuma,kuku,pilau muchele, nyama fry,soda, chapati moja, avocado moja,maji ya Dasani chupa ya 2ltrs,kama Kuna samaki unibuyie kiazi tu si unajua vyenye napenda!,I love you so much darling.
Boy: umesahau meza,viti,vijiko,sahani,vikombe,mwiko,na sufuria.
Dem: mbona beb?
Boy: because mi naona we hutaki kula,unataka kufungua hotel.๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜†๐Ÿ˜
#๐’๐’Š๐’ˆ๐’ˆ๐’‚



10/06/2026

Penda usipende dem wako ako inbox ya MTU na ako single and searching ๐Ÿค”๐Ÿคฃ๐Ÿ’”๐Ÿซต๐Ÿค

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Bungoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Bungoma