Grant tigger

Grant tigger

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Grant tigger, Eldoret.

28/02/2020

USIUDHARAU UJUMBE HUU MUHIMU KWAKO

Salalome na Dan walirudi kuwasalimia wazazi wao baada ya kuoana na kuhamia mjini na kukaa zaidi ya mwaka bila kurudi kijijini.

Lakini pamoja na safari yao hii pia walikuwa wakienda kuwaonyesha gari lao jipya aina ya benzi walilolinunua.

Wazazi na ndugu wengi wakawapokea kwa furaha na kufurahi sana mafanikio ya vijana wao na kufanya sherehe ndogo.

Siku tatu baadae wakaanza safari ya kurudi mjini na walipokuwa njiani wakawa wanasikia kitu kikitoa sauti ya ajabu katika boneti la gari.

Wakashuka na walipofungua walishangaa kumwona chatu mkubwa akiwa katika boneti la gari yao akijiandaa kuwarukia.

Bahati nzuri watu walikuwepo wakajaribu kuwasaidia ingawa kila walipompiga nyoka yule aliwashangaza kwa kutoa sauti za mtoto mchanga anaye lalamika.

Wakasali huku wakimpiga nyoka yule na akafa na wao wakaendelea na safari yao mpaka mjini.

Walipofika mjini wakashangaa kupokea habari za misiba ya wajomba zao watatu waliokufa kwa pamoja kwa vifo vya utata huku wakilalamika kuwa walitaka kuwaua salome na Dan kwa ajali ya gari kwa wivu.

Kumbuka k**a utamtegemea Mungu basi hakika hutapatwa na matatizo na mwaka huu kila mtego wa adui shetani wa vibaraka wake hautakufikia na badala yake wataaibika wao katika JINA linalopita majina yote AMEN

Comment AMEN k**a huna dharau na waamini kuwa Mungu atakupigania dhidi ya maadau zako na kukupa afya na maisha mazuri huku ukipata mafanikio

KISHA SHARE TAFADHALI NA WENGINE NA MUNGU ATAKUBARIKI SANA

-SHARE

27/02/2020

China Daily Your fast way to all things China. Join the conversation!

Photos from Grant tigger's post 19/02/2020
27/10/2019

Ghai!madem wa sasa wanaturingia Sana,hata awaoni wako wengi kutushinda,alafu unasikia Dem akumwambia boychild ati naskia unakuanga na Nani,kwani yeye ndio anakulipa mahari?dunia ya sasa ni 1:8 na bado tunalipa mahari na bado anakuambia vitu K**a izo?wa!si watulipe mahari basi;butone of the ten commandments and says,'usitamani mwanamke was jirani takini jirani AKitaka usaidisi umsaidie'ama namna gani?

27/10/2019

Ghai!madem wa sasa wanaturingia Sana,hata awaoni wako wengi kutushinda,alafu unasikia Dem akimwambia boychild ati naskia unakuanga na Nani,kwani yeye ndio anakulipa mahari?dunia ya sasa ni 1:8 na bado tunalipa mahari na bado anakuambia vitu K**a izo?wa!si watulipe mahari basi;butone of the ten commandments and says,'usitamani mwanamke was jirani takini jirani AKitaka usaidisi umsaidie'ama namna gani?

21/10/2019
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Eldoret?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Eldoret
30100