Jay wa nyanya1

Jay wa nyanya1 | BARBER(Kinyozi) 💎
| Liverpool fan page🥇| Always Liverpool | Baba Najma (31 -08 -2023) 🍼 | Najma juma (3 yrs old) | Call +254 727 038 173
(3)

▪️Unakionaje kikosi cha leo cha Liverpool dhidi ya Villareal, Iraola kapatia au amezingua 🙄
20/10/2026

▪️Unakionaje kikosi cha leo cha Liverpool dhidi ya Villareal, Iraola kapatia au amezingua 🙄


🗣️ “Sema kaka siku hizi upo kimya sana au ndio unamuwaza Pipy”, hii ni moja ya comment niliyoulizwa hapo jana....✍️▪️Jib...
20/10/2026

🗣️ “Sema kaka siku hizi upo kimya sana au ndio unamuwaza Pipy”, hii ni moja ya comment niliyoulizwa hapo jana....✍️

▪️Jibu la comment hii ni, “Hapana kaka, simuwazi Pipy” na kuhusu kuwa kimya sana jibu lake ni, “Nipo sana ila kuna majukumu flani lazima tuyatimize ili familia zetu zipate chochote kitu na ndio maana ubize flani ukajitokeza” ila nipo sana familia....✍️

▪️Siwezi kuwatupa ndugu zangu, nipo na nyinyi na Updates zitakuja tu....✍️


▪️Tunarudi Anfiend kwenye UEFA Champions League na tunaikaribisha Villareal usiku wa leo....✍️▪️Utabiri wako ndugu, unah...
20/10/2026

▪️Tunarudi Anfiend kwenye UEFA Champions League na tunaikaribisha Villareal usiku wa leo....✍️

▪️Utabiri wako ndugu, unahisi Villareal atachomoa leo?


▪️Ni Mo Salah tena, anaonesha ulimwengu kuwa yeye bado ni Mfalme na wala hajachuja k**a wengi walivyodhani hapo awali......
19/10/2026

▪️Ni Mo Salah tena, anaonesha ulimwengu kuwa yeye bado ni Mfalme na wala hajachuja k**a wengi walivyodhani hapo awali....✍️

▪️Kwenye mechi ya leo waliopata ushindi wa goli 2 Mo Salah kafunga goli lake moja, hii ina maana kwenye mechi 8 za ligi yeye amefunga magoli 8....✍️

Mo Salah the Egyptian King 🔥


▪️Victor Munoz kijana anaonesha kabisa huyu ni mpambanaji, mashabiki wa Liverpool tunatamani sana kumuona Munoz akitulet...
19/10/2026

▪️Victor Munoz kijana anaonesha kabisa huyu ni mpambanaji, mashabiki wa Liverpool tunatamani sana kumuona Munoz akituletea mafanikio....✍️


▪️Pale EPL mechi inayofuata tunawakaribisha Brighton nyumbani, hii ni moja ya kati ya mechi ngumu sana inayotusubiri.......
19/10/2026

▪️Pale EPL mechi inayofuata tunawakaribisha Brighton nyumbani, hii ni moja ya kati ya mechi ngumu sana inayotusubiri....✍️

▪️Brighton msimu huu ni k**a wamejipata wapo kwenye nafasi ya 3 wakiwa na alama 16, lakin pia sisi Liverpool tunaanza kujirudi mdogomdogo na pia uzuri mechi hii itachezwa Anfield japokuwa Anfield kuna muda matokeo yake hutuchanganya ila Anfield ni Anfield tu na ni advantage kubwa sana kucheza mechi ngumu k**a hii....✍️


▪️Msifikiri kwamba kusubiri kwangu ni kutokuwa na uhakika na yeye, wakati mwengine mtu anaweza kuwa na hisia za kweli la...
18/10/2026

▪️Msifikiri kwamba kusubiri kwangu ni kutokuwa na uhakika na yeye, wakati mwengine mtu anaweza kuwa na hisia za kweli lakini akahitaji muda wa kuweka mambo sawa kabla ya kuanza safari hiyo husika....✍️

▪️Najua ipo siku nitakushika mkono na kukuambia, “Sikukosea kusubiri maana sasa muda wangu umefika Pipy” 💞

💞

▪️Semeni nyinyi wanazengo wenzangu maana nikisema mimi mtaishia kunibeza weee mpaka kufikia kiwango cha kuniita mimi ni ...
18/10/2026

▪️Semeni nyinyi wanazengo wenzangu maana nikisema mimi mtaishia kunibeza weee mpaka kufikia kiwango cha kuniita mimi ni Nyumbu 🙄

▪️Mimi naweza kuwa shabiki wa Nyumbu kweli? aya jana mlimuona mchezaji wenu aliyepiga goli 3 Lask juzi kati?


▪️LIVERPOOL NI MOTO! ▪️Brentford wameangukia mikononi mwa Liverpool, ushindi ni wetu....✍️You'll never walk alone 💪
17/10/2026

▪️LIVERPOOL NI MOTO!

▪️Brentford wameangukia mikononi mwa Liverpool, ushindi ni wetu....✍️

You'll never walk alone 💪


17/10/2026

ISAK is back!!!
🫡

Address

Mombasa
Kaloleni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jay wa nyanya1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share