30/04/2026
Governor Ochilo Ayacko is transforming the healthcare sector through the construction and equipping of modern health centres to improve service delivery for all residents. This progress is demonstrated by the commissioning of the well-equipped Kongo’u Dispensary, marking another milestone in his administration.
The Riat Kongo’u Dispensary becomes the 22nd facility built and commissioned in just three years, highlighting the governor’s commitment to expanding accessible and quality healthcare at the grassroots level.
17/04/2026
Tabasamu kwa Wajane Migori
Serikali imeondoa malipo ya vitambulisho, hatua iliyowaletea nafuu wajane wengi. Aidha, wajane wameendelea kunufaika kupitia msaada wa Mbunge wa Kuria Mashariki. Hatua hii inaleta matumaini na afueni kwa jamii.
17/04/2026
Migori County Entrepreneurs Empowerment Forum in Mabera, Kuria West Sub-County, organised by the State Department of Co-operatives within the Ministry of Co-operatives and Micro, Small and Medium Enterprises Development.
11/04/2026
Washukiwa wawili wamekamatwa katika Kaunti ya Migori baada ya maafisa wa upelelezi kupata bunduki haramu ya kutengenezwa kienyeji pamoja na panga wakati wa msako katika Kijiji cha Makerero, Isebania.
26/03/2026
Mimi NIKO KADI je wewe?
Uko kadi ukiwa pande gani? Taja huyo mchapa kazi mwenye unataka kuajiri kazi.
24/03/2026
Mabera Estate phase 1- Kuria West
23/03/2026
Watu wa Kuria East itabidi leo mtuambie mko chama gani. Mbona naona yellow yellow zinaongezeka.
23/03/2026
Ni leo na ground pale kuria East kuko hivyo mnavyo ona.
13/03/2026
Programu ya kuwawezesha wajane katika Kuria East Constituency ilifanyika kwa mafanikio pale Kegonga KMTC grounds, na kuhudhuriwa na wanajamii pamoja na viongozi mbalimbali kwa lengo la kuwasaidia wajane katika eneo hilo. Hafla hiyo ilihudhuriwa na John Mbadi, Waziri wa Hazina na Mipango ya Kitaifa, pamoja na viongozi wengine. Wakati wa hafla hiyo, viongozi na wahisani walichangisha fedha ambazo zitasaidia kuwainua na kuwasaidia wajane wa Kuria East. Mpango huu unalenga kukuza uwezeshaji wa kiuchumi, umoja, na matumaini miongoni mwa wajane katika eneo bunge hilo. Makofi kwa MP Kuria East 👏👏👏
11/03/2026
Engineers have begun repair works on the Migori River Bridge in Migori County after recent heavy rains caused flooding that damaged the structure and disrupted transport in the area.
09/03/2026
Kamati ya Ardhi ya Bunge la Taifa imeanzisha uchunguzi kuhusiana na jinsi serikali ya Kaunti ya Migori ilivyogawa ekari 900 za ardhi kwa kampuni inayohusiana na mke wa Gavana wa zamani, Okoth Obado.