28/12/2024
Me🧔:- mambo😊
Dem👰:- poa🤨
Me🧔:- unaishi wapi🙄?
Dem 👰:- hapa tu Nairobi 😲
Me🧔:- uko chuo😊?
Dem👰:- ndio😟
Me 🧔 :- chuo gani ☺️
Dem 👰:- Urumah University 🥰
Me🧔:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako.
Dem👰:- ohooo!🙆 I am already to deserve you 😍
Me🧔:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla...😘"
Dem👰:- Ahsante, una gari aina gani😒?!
Me🧔:- Nina land cruiser 😊"
Dem👰:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe😁".
Me🧔:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu🙄".
Dem👰:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana💕
Me🧔:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service😊"
Dem👰:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single😁😁".
Me🧔:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹"
Dem👰:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili✌️"
Me🧔:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager🕴️.
Dem👰:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto 👪wote walifariki miaka minne iliyopita.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!manna njorii ✅✅
25/12/2024
04/06/2024