Athman Dena

Athman Dena

Share

Confederation Of African Football Accredited Journalist. Register a Secret Bet Account here
https://slim.link/xj3lxjx

14/05/2026

MOFA FC wamethibitisha kuachana rasmi na kocha mkuu Charles Bruno kwa makubaliano ya pande zote mbili. Klabu hiyo sasa inatarajiwa kuanza mchakato wa kutafuta mrithi wake. πŸ”šβš½

14/05/2026

🚨 π„π—π‚π‹π”π’πˆπ•π„
Simba Apparel goalkeeper Chuma β€œWababu” Mohamed has officially received an invitation to attend trials with Swedish side AIK this August. πŸ‡ΈπŸ‡ͺ🧀

A huge opportunity for the talented shot-stopper to showcase his abilities on the international stage. Wishing him the very best as he takes a big step towards his football dream! πŸ’ͺ⚽

14/05/2026

Kiungo Patrick Nyale amejiunga rasmi na Matanomane Youth baada ya kuondoka Ubuntu FC.

Nyale anaanza ukurasa mpya wa safari yake ya soka, huku Matanomane Youth wakiongeza nguvu safu yao ya kiungo kuelekea mkondo wa pili wa msimu.

14/05/2026

Follow AD Sports Media

🚨 π‡π€ππ€π‘πˆ: Serani Secondary School, mabingwa watetezi wa mashindano ya KSSSA Term Two Games kutoka Mvita, Mombasa na ukanda wa Pwani, wanaripotiwa kuwa katika hali ya kutoshiriki mashindano ya mwaka huu baada ya kushindwa kupata idadi ya kutosha ya wachezaji.

Iwapo taarifa hizo zitathibitishwa, itakuwa pigo kubwa kwa kampeni yao ya kutetea taji walilolitwaa msimu uliopita.

14/05/2026

Paul Osama amecheza mechi yake ya kwanza rasmi akiwa na EnkΓΆpings SK, akiingia kipindi cha pili dakika za mwisho katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya FC JΓ€rfΓ€lla. Mwanzo mpya nchini Sweden kwa winga huyo wa zamani wa Murang'a Seal.

Powered by Kombani Homes Limited

14/05/2026

Talanta Sports City Stadium 90% Complete πŸ”₯πŸ”₯

14/05/2026

Kingine hawa NEC Members next time wachaguliwe na Chairpersons wa Regions wana represent.

Plans to remove the nine NEC members not allied to Hussein Mohammed are reportedly being discussed as internal tensions within the federation continue to deepen.

Sources indicate that, behind the scenes, meetings involving some branch chairpersons and other officials have already taken place as efforts intensify on how to advance the proposed removals.

This weekend, branch officials are expected in Nairobi for training ahead of the Chapa Dimba tournament with reports suggesting FKF officials could use the gathering to begin collecting signatures to initiate proceedings against the group of NEC members who have been pushing for changes in the leadership structure.

Separately, National Super League clubs have been summoned to Nairobi on Friday by their Caucus Chairperson, Yusuf Swaleh, who is perceived to be a front convener, where a range of issues affecting the league are expected to be discussed. According to reports, the possible removal of NEC members may also feature in the broader agenda.

However, any such move faces a significant procedural hurdle, with FKF statutes requiring a three-quarter majority of delegates at an AGM for the removal of NEC members, a threshold widely viewed as difficult to attain at this point despite ongoing lobbying efforts.

14/05/2026

✍️Ameandika Kenneth Muguna;
"Nimewafuatilia kwa karibu sana, na ninaweza kusema kwa uhakika kuwa Wangaya, Aroko na Madada ni vipaji vya kipekee ambavyo vinaelekea kuwa vigumu kuzuilika miaka ijayo. Kwa kiwango cha klabu na hata timu ya taifa, wana kila dalili ya kuwa mastaa wakubwa wa baadaye.Uwezo wao kwenye soka ni mkubwa sana."

14/05/2026

ICYMI
FT: Kwale United 2-0 Kwale High School

13/05/2026

Register on 1XBET now using this link https://tinyurl.com/mhfwk7bs
using Promo Code 1XDENA to unlock exciting bonuses!

Then place your bet on this match and stand a chance to win big! πŸ”₯⚽

13/05/2026

Follow AD Sports Media for all School Games Updates.

🚨RASMI: KWALE COUNTY KUANDAA MASHINDANO YA KSSSA TERM TWO - REGIONAL πŸ†πŸ“š

Ni rasmi kuwa mashindano ya shule za upili muhula wa pili ngazi ya Regional (Pwani) yatafanyika Kwale County, katika shule za Kwale High School na Kwale Girls Secondary, kuanzia tarehe 8 hadi 11 Julai 2026. ⚽🏐

πŸ“… 2 hadi 6 Juni 2026 - Mashindano ya Sub-County yataanza rasmi.
πŸ“… 17 hadi 20 Juni 2026 - Mashindano ya County Level yatafanyika.
πŸ“… 8 hadi 11 Julai 2026 - Mashindano ya Regional Level (Pwani) yatachezwa katika viwanja vya Kwale High School na Kwale Girls Secondary.

Shule mbalimbali zimeanza maandalizi huku ushindani mkali ukitarajiwa katika michezo tofauti kuelekea hatua ya kitaifa. πŸ”₯πŸ’ͺ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Mombasa