Bandari Youth FC.

Bandari Youth FC.

Share

The official page for Bandari FC Youth team

Photos from Bandari Youth FC.'s post 04/06/2026

Terminators...


Kenya Ports Authority
Bandari Football Club

03/06/2026

𝐊𝐈𝐔 𝐍𝐈 𝐊𝐈𝐓𝐔 𝐊𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀

Tumetuma parcel ya mitungi kwanza ndugu zetu F.c dynamo wasombe maji yakuoga na kunywa baada ya mechi,hiyo vumbi kwa hiyo kiwanja wanaita stadium ni aibu.
We know getting 20ltrs of water in Kitui you need barua ya chief Muteti.

Photos from Bandari Youth FC.'s post 02/06/2026

🏆 DHUL HIJJAH SUPERCUP CHAMPIONS – BANDARI YOUTH FC

Tumetwaa ubingwa wa Dhul Hijjah Supercup kwa mafanikio makubwa baada ya kuonesha kiwango cha juu kabisa uwanjani! 🔥

Katika fainali, tuliibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya South Coast

⭐ Top Scorer wa mashindano: Caleb
⭐ Man of the Match: Chaka

💰 Tumezawadiwa KSh 50,000 k**a mabingwa wa mashindano haya

Asanteni mashabiki kwa sapoti yenu isiyoyumba

Photos from Bandari Youth FC.'s post 31/05/2026

SECOND HALF GALLERY

31/05/2026

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄

Tumepoteza nyumbani

Bandari Youth FC. 1 - 4 Police YOUTH

31/05/2026

Kitumbua kinaingia mchanga wanapata bao la nne.

The fight is on.

62 ' Bandari Youth FC. 1 - 4 Police YOUTH

31/05/2026

Wanavuna goli la tatu kupitia own goal

57' || Bandari Youth FC. 1 - 3 Police YOUTH

31/05/2026

Mpira unaanza na wageni wanapata bao la pili.

46 ' || Bandari Youth FC. 1 - 2 Police YOUTH

Photos from Bandari Youth FC.'s post 31/05/2026

FIRST HALF GALLERY

Bandari Youth FC. 1-1 Police YOUTH

31/05/2026

Bandari Youth FC. 1 - 1 Police YOUTH

Neno moja kutoka kwa kocha alafu turudi

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Mombasa
80100