13/05/2026
Marion Naipei Amepata Boyfriend Mzunguu. Huyu Hajui Story Yake Ya Telegram 😅 Amemuona na Dera, Ametoka Kwa Church Ya Kanyari na bible, Then Anaongea ki Coast, Anajua Mrembo Ni Mali safi, Ametulia, Watu Wanguuu Wa Umbeya, Ambia Huyu Mzunguu neno Moja Kuhusu Marion Naipei, Mzunguu Akae Akijua Nini 😅😅
13/05/2026
Wenye Mnauliza Kolabo Ya W***y Paul Na Diamond Iliendaje? Pozze Alienda Wasafi, Akameet Team Ya Mondi Na Managers Wake, Babu Tale Na Salam Sk. Wakaambia W***y Paul a Record Ngoma Mbili utume, Tutachukua The Best One. Kumbuka W***y Paul Na Producer wake Wametumia Doh mob kutravel, Accomodations Na Vitu Mob.
After Kurudi Kenya, W***y Paul Alirecord Those two songs Akatumia Diamond. Mondi Aka mute. W***y Paul akashinda Ameulizia For Two months Lakini Wapi. So He Decided to Give up on that collaboration.
Hiyo Ndio madharau Wasanii Wakubwa hufanyia Upcoming Artist's. But W***y Paul Hakuwa Upcoming 😅 Mnafikiria Mbona Diamond Platnumz Aliskiza Ngoma Ya W***y Paul Na Akaamua kunyamaza?
13/05/2026
General Defao Alifanya Oga Obinna Pia Ajione Maskini Wa Mungu 😅 Wakati Alisema Ata Recover 38 Million Yenye Alibomolewa Nyumba in Few Months, After Kutaja Royal Clubs, Magari kubwa kubwa Ya Over 15 Millions Jamaa Akashika Tama! Kumbe Watu Wako Na Pesa Hata Hawajui Kutangaza.
Imenikumbusha Siku Moja Nikaskia Diamond Platnumz Akisema Anataka Kukuwa Tajiri Namba Moja Duniani. So My Friend Tukiwa Campus Bado Akanisho Hakuna Pesa Diamond Platnumz Ako Nayo 😅 Juu Mimi Huamini Celebs Wako Na Pesa Mingi, Nika Argue Until We Decided to Google.
Unajua Nini, Niliamini Diamond Anashinda Mike Sonko Mbali Sana 😅 after Ku google, Kumbe Diamond Platnumz hata auze Mpaka Kifuniko Ya Simu, Hawezi Karibia Hata Kwa Umbali Ya Quarter Ya Mali Ya Mike Sonko..Hata Joho Anaweza mpea Kazi Ya Watchman. Then Kuna Funny Names Hujawahi Sikia, Ety Ni richest than Your President!Watu wa Pesa Hatuna Maneno 😅👍
13/05/2026
Nimegonga 9k Subscribers On YouTube, Although Nimekuwa Dormant, Nikifika 10k Naanza Kurecord Show Yangu. Umbeya Na Udaku, Music Hype Na Ku Host Wasanii Wa Freestyles Na Rap Battles. Don't Subscribe, Kazi Italeta Subscribers, Tararar 😅👍
13/05/2026
Geoffrey Mosiria Husema Yeye Hawezi Toa Sadaka, Instead Yeye Hutoa Kwa Mshahara Yake 10% Ya Kusaidia Watoto Na Watu Wako Na Shida Kwa Street. Ety Hakuna Haja Pastor Ana drive Range Rover, Anaishi Kwa Expensive House Na Mtu Anaishi Kwa Slum Anapanda Mbegu Kila Siku 😅 Ni better Hiyo Pesa Upee The needy Kwa Street, That's A Genuine Offering Na Utabarikiwa.
Una Agree Na Yeye? Ety Hawezi Nunua Maombi Na Ibada? Ni better Kupea The needy Huku Nje Ama kutoa Kwa Church?
13/05/2026
Diamond Platnumz Na Ruto Ni Role Models Wangu 😅 Ruto Simpendi But Jamaa Hunisho Ety Ukikosa Kuipata The Right Way, Get It Using The Alternative Way, Bora Kupata Ikuwe Constant. Yaani The End Justifies The means. Pia Ruto Akiwa Role Model Wako Atakusho Use The Power Of Winning Trust, Ukipewa Utajitetea Ukishapata Huko Mbele, Mumumwsikia , Ama Hamujasikia 😅
Kwa Diamond Platnumz Ni Kuwa Lazima Ukuwe Number Moja. Kila Siku Ikuwe Ni Wewe tu. Halafu Simba Pia Hunisho Ukianza Zidi Kupanda, Usiwahi Shuka Hata Siku Moja. Just Keep Shining, Never Dim Your Light. Hata Kwa kutumia Pesa, Akili, Jina Kubwa Na Kila Kitu Bora uwe Juu Siku Zote.
Role Model Wako Ni Nani 😅
13/05/2026
Ruto Akikuita Statehouse
Akulipe 1 Million utaenda?
13/05/2026
Diana Marua Ametaa Kupea Morgan Bahati Pocket Money Juu Amemuita Bro 😅 Mwenyewe Ana Treat Mtoi Wako K**a Boyfriend, Mnakuwa So Open, Mna Practice Interaction Style Ya Wazunguu, Mbona Asikuite Bruh?
So Ameboeka Sana 😅 Two Weeks Pocket Money Imeisha! But Mtoi Akiomba Pocket Money pia unapost?!What if Morgan Ako Na Girlfriend 😅 Si Inachomea Privacy Yake? Una Support Morgan Apewe Pocket Money Ama Apate Adabu Ya kuita Mamake Bro 😅
13/05/2026
Bien Ameamua Kuchafua Jose chameleon Na Nandy Wa Tanzania Kwa Live Performance Pale African Summit. Nandy Anaimba Off Key, Instruments tu Zinaskika Na Kucheza Kwa wingi, Hakuna Vocals Kabisa, Gas Imeisha, Ndio Mjue Hawa Bongo Artists Ni Recording Artists,
Akaja Jose chameleon 😅 Style Ya Kuruka Ruka kwa Stage. Sema tu Juu he's a Legend That's Why Watu Walikuwa Waki Sing Along. But Yeye Anaimba One word Kwa Stanza Moja.
Mjue Mimi Natumia Bien K**a Marking Scheme Kwa live Performance East Africa.
Then Bien Akakuja! Less Words, The Teacher Taught Them, K**a Vile Alifanyia Marioo. Ukitoa Fally Ipupa, The Next Best live Act Ni Bien 🔥
13/05/2026
Huyu Ni W***y Paul Amepita Na Vera Sidika Wa Tipsy Gee Ama Ni Eeee Aiii 😅 Amevaa Specs So Sioni Sura Vizuri, Confirm K**a Ni Dem Wa Tipsy Gee, Isikuwe Ametenda Wema Akapewa Mafruuu 😅😅👍
13/05/2026
Huyu Ni Msanii Yupi Na Mamake 😥😥