02/10/2026
⚠️ TANGAZO TANGAZO ⚠️
SUNDAY SAA KUMI -JATESO STADIUM
NEW NJIRU FC vs MBOTELA KAMALIZA
Mbotela, tumeskia mnalia turf yenu ni home. Sisi tunakuja na viatu chafu tuikanyage! 😂
Nyinyi ni KAMALIZA, sisi ni KUANZA .Mtaanza kulia Saa Kumi na Moja🤗🤗🤗
Turf ni yenu, lakini mpira tutawafunza.
Hakuna huruma Sunday tunawachapa k**a watoto🤓
Mkuje na leso, maana mtarudi home mkilia.