Soccer Kyiv Cars

Soccer Kyiv Cars

Share

YOUR TRUTHFUL CAR GUY. Reviews | Inspections | Smart deals
I help you choose the right car

11/08/2026

Hapa kuna complete M54B22 Engine with Manual 6-Speed Gearbox.
2200cc Petrol.
Currently in a BMW E46 with 100,000 miles.
No mechanical issues, available for test drive immediately.
Asking 150k inclusive of ECU & Harness Chukua alafu ufanye damej kontrol pande ya tululu yangu.

11/08/2026

But humans are naturally selfish, what do you mean unaishi na kuku na hujai ifunza kunywa maji vizuri? Wewe jaribu kunywa maji hivyo uskie.

Ata bosco na vile ako loyal bado analamba maji badala akunywe. With right coaching anaeza kunywa maji k**a ng'ombe.

Let us be wangwana jameni, a ingokho won't take your jab.

10/08/2026

Hii BMW E46 ni ya kulipa na Mpesa. Kuja na 250 alafu enda tengenesa project moja hatari bin laden.

It's a 2002 model and comes with an I6, usito tupu.

Kuja ona gari, enda nayo

10/08/2026

ile Mark X ilikua kwa Moha graffix ndio hii. Rangi inameta meta buana. Hii ukipark karibu na jogoo utapata scratches juu ni kioo.

However, the paint kit doesn't come cheap. Minimum weka 100k mfukoni but 250k itakua best.

10/08/2026

Hizi old skuls ata wenyewe uwapatie nini huwa wanasema "hii siuzi sai kijana yangu". Simply, anasema tafuta Premio ama Fiuda

09/08/2026

This Toyota Tundra costs Kes 5M in Naija, ikifika Kenya sijui inafikaje 15M. K**a uko place k**a yues you'll even get it at a cheaper price.

09/08/2026

Iko siku kwa harakati zangu za kazi nilijipata kwa kijiji moja kule indiria buana.

Pale nayo haikua mcheso, watu wanajituma k**a nansenz. Kule Churchill akiingia atatoka na comedians wengi.

Sasa mimi nimeingia namna hii ready to irrigate my throat kumbe iko jamaa wako semming semming buana. Ghalfla bin laden jamaa wamekuja wameanza stand up comedy karibu na mimi.

Kucheka nayo nilicheka k**a brukenge. Kumbe hii jamaa walitaka kuona k**a nikona meno zote mangai. After confirmation wakajua mimi ni mgeni na wakaeka fomeshon ya kunipora.

Kitu hawakujua ni ati hii mambo ya bobi traps naijua kutoka pale Vietnam. K**a sio dj afro kunipeleka moja kwa moja mpaka Thailand hii jamaa ingeninasa mzee.

Mnafaa kujua iko jamaa wako kazi na hiyo kazi ni wewe, chesa.

09/08/2026

Wenye mumefika Sunset Corsa mumeina ile Lotus ya yellow?

09/08/2026

Sasa vile mambo inaenda itabidi nichukue hii bidhaa. Mambo sio msuri wazee ata kidogo. Sandpepa zimeingia kwa soko zikiwa zimevalia ngozi ya tishu.

Unajipangusa namna hii unatoka na blister k**a watu ya onili fanis. Ukitaka quality msuri nayo wanauza two sausand. Hii safari sasa naona nikishukia hapa.

Wacha nichukue tu hii kabidhaa, ni kutwanga tu presha shaaaa na unang'ara. Mambo ya panguza rushaa nimewawachia

08/08/2026

Mbuzi nazo hakuna kitu hazitakuonyesha. Unapata Yoghurt inapungua kwa fridge na saa hiyo vipii ziko ocha. Unashindwa namna gani wakàrūmazìrà ameingia kwako.

Kumbe ni mbuzi zimekua zinatwanga beverejes zako pale maskan. Sasa inabidi uziwache juu ukizifungia zitaingia kwa jirani na kesi utakua nazo gorogoro tano.

Hizi ukipelekea wazazi pale nyumbani after 2 months wanakua acrobats ama magistrates. Ni either uruke ruke ukizitafuta ama ujue kukesi zikiingia kwa wenyewe.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Kiambu Road
Nairobi
00100