DEM WA FB
Dennis kinamboge
@LOVE ♥️♥️❤️
@RESPECT 🙏🙏🙏
A MAN CITY FAN SIKU ZOTE🙌
@denno
GEN Z👁️🗨️👁️🗨️
#LEANRTOBEDIFFERRENT#HILIGHTSEVERYONEFOLLOWERSFOLLOWER
LOOKING FOR LOVE 💋💜💕
11/05/2026
mnasem hamuoni ata hii.tuache siasa sometimes.
10/05/2026
Yes she is the one ❤️❤️❤️👌
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Lukes Melody, Owino Benard, Dato Dinah, Don Sabwa, Lupreence Abby, Irene Wanyonyi, Makai Baxter, Wambui Bobs, Pupa Mņæřę, Kelvin Kelly, Comrades David Mbk, Mc Vido, Kijana Mpole, Gine De Wam, Mamake Travis Travis
05/05/2026
Nliwambia nyinyi ni wa juzi kam hamjui hawa je munamutambua haka kamzee.Yaani na imagine vle nlikua nalipa my 10bob kuona movie kam unamjua mtaje.Juu generation ya sai watasema n kashetani ebu waambiwe jina 😂
03/05/2026
ile cku ntakua mkubwa nitaoa sai mm bado mtoto wale n wakubwa maisha ya relationship inawapelekaje
With DEM WA FB – I just got recognised as one of their top fans!
02/05/2026
naambiwa ati bila wewe cwez lala.hapa wenzangu ata c nyinyi mnaona nadanganywa asubuhi hii eti kwa hii sura kweli naeza kosesha M2 usingizi .Kuna kibaridi sana k**a unafeel nakukosesh usingiz kuja unipe joto 🤣🤣🤣👉
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jamali Msambaa, Bengula Tsiosi, Natha Nathaniel, Delly Sammy, Beka Beka, Hillary Hobby Kiliboy, Kem Kem, Ogao Kevin, Derick Otieno, Hunny Villah, Isaac Kiliswa, Sudi Tosha
29/04/2026
wengine wantak kuitwa hi bebii,babaaaa,swetiee,Mamie. mimi waniite ugly vle nko ctaki watu kunidanganya juu y furaha mkome kunisifu bana 👉👉👉🤔
25/04/2026
Akuna kitu hunipea amani k**a kukutana na friends and you enjoy just like how I do with family. Mkiwaona hwa watag wambie wasizoee kubeba njaa yao nakupelka kwa watu.watu wakule kwao 🫣🫣🫣
Click here to claim your Sponsored Listing.