12/06/2025
Atwoli Mwenyewe tupatane kila Saturday Ndani ya Herriano corner @ 4 pm nikupe uchanganuzi wa njuu Kwa njuu mtu WA Arsenal ama Asenali nikupe mawaidha na pia kila Monday Radio 47, TV 47 Ndani ya 90+ plus mzima mzima , Radio 47 , Tv 47 hapa ndipoooooo tunabiiiiiiiiiiiisha paaaaaaa
Lucky Herriano Sports Zone Radio 47 Hassan mwana wa Ali Manu Orijino