Full Time Results
Friendly Match
Shamu Stars 1-5 Scheme fc
SHAMU STARS
OFFICIAL SHAMU STARS FACEBOOK PAGE
Elephant Of The Deserts.
22/05/2026
FRIENDLY MATCH ALERT🚨🚨🚨
Scheme Fc Will Pay A Visit At Shamu Grounds Today for a friendly match
Come and Enjoy The Game🔥🔥🔥
02/04/2026
Good Morning⛅⛅
Mtaje Unayemtambua hapa...Naangalia comments
🤝
SHAMU STARS
01/02/2026
We loose the final Through penalty shootout
😱😱 🤦We will fight back stronger💪💪
NDEMBE CITY (3) 1-1 (2) SHAMU STARS
🏟️Mwaroni
01/02/2026
🔵SIKU YA MECHI
🚨🚨FINAL FINAL FINAL🚨🚨
Good Morning...Wapenzi Wa Kabumbu Leo Tunaelekea Mwaroni Baada Ya Mazungumzo ya kamati andalizi kuhamisha fainali hiyoo.
NDEMBE CITY 🆚 SHAMU STARS
🏆MWAKULONDA CUP FINAL
🗓️1ST FEB 2026
⏰3:30P.M
🏟️MWARONI GROUNDS
30/01/2026
Good Morning From This Side.
Guess Nani Alipata Hiyo Ball.
Sule Mwacharero ama Salo Hindo.
Tupatane kwa comment section✌️✌️
SHAMU STARS
29/01/2026
🔵SIKU YA FAINALI
Mnamo Jumapili Tarehe 1 mwezi wa pili
Tutaelekea Diani Mwakamba Kugaragazana na NDEMBE CITY
Kwenye fainal ya MWAKULONDA CUP
NDEMBE CITY🆚 SHAMU STARS
🗓️1st Feb 2026
🏆Mwakulonda Cup
🏟️Mwakamba Grounds
⏰3:30P.M
KOSA UCHEKWE🤔🤔
26/01/2026
Good Night From This Side.
Jina Italeta Abdalla Said mwamba anakipiga Pale SHAMU STARS
Winger 7/11Zote Ako sawa💪💪
Tumpe Maua Yake Mchezaji.
24/01/2026
🔵Loose
Tumeng'ang'ana lakini bahati haikuwa kwetu
We keep on fighting another day.
SHAMU STARS 0-5 Amsterdam Fc
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Ukunda
80400