11/11/2024
π¨ π’πππππππ: Ruben Amorim has ARRIVED at Manchester United. π΅πΉπ΄
My official page
11/11/2024
π¨ π’πππππππ: Ruben Amorim has ARRIVED at Manchester United. π΅πΉπ΄
10/11/2024
Uyu mwamba ni kocha π―
01/11/2024
Tayari mwamba katuwa OTππππ―
30/10/2024
HT 4 -2ππππ
29/10/2024
Unakumbuka nini kutoka kwa EDWIN VAN DER SAR ππ―
29/10/2024
π¨una mwamini kwa silimia ngapi% mwamba
28/10/2024
Sancho anamanisha nini π€£π€£π€£ππ
28/10/2024
Vipi kuhusu XAVI kuja UNITED?? ππ―
28/10/2024
Tumekawiya sana kumufukuza uyu mwamba πππππͺ
28/10/2024
Club ya Manchester United imetangaza rasmi kuachana na Kocha wao Erik ten Hag baada ya mfululizo wa matokeo mabovu.
Taarifa hiyo imetolewa leo ikiwa ni siku moja imepita toka Man United wafungwe 2-1 na Westham United, Man United wamemtangaza Ruud van Nistelrooy kuwa Kocha wa muda wa Man United.
Erik aljiunga na Man United April 2022 na anaondoka akiwa katwaa Makombe mawili tu ambayo ni Carabao Cup 2023 na FA Cup 2024.
03/10/2024
Mimi sijawai kumuamini huyu kocha pale UNITED ivi wanasubiri nini kumufukuza?
30/09/2024
π¨π° BREAKING:
It would cost Manchester United Β£17.5m to sack Erik ten Hag now.
π₯ Manchester United - Manchester Evening News