15/11/2026
This is written in Swahili: 🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇨🇩
Baba wa Mbinguni, nakushukuru sana leo.
Asante kwa zawadi kubwa uliyonipa — mume wangu.
Asante kwa kumleta katika maisha yangu, kwa upendo wake, kwa uvumilivu wake, na kwa jinsi anavyonijali na kunipenda.
Leo siku yake ya kuzaliwa, nakuja mbele zako kwa shukrani.
Asante kwa maisha yake, kwa afya yake, kwa kazi ya mikono yake, na kwa neema yako juu yake.
Bwana, namwombea baraka zako. Mpe maisha marefu, afya njema, amani ya moyo, na hekima ya kuongoza familia yetu.
Kila kitu atakachogusa na mikono yake kistawi. Mfunike kwa damu yako, mlindae popote anapoenda, na umjaze furaha isiyo na mwisho.
Asante Bwana kwa kuwa mwaminifu. Asante kwa mwaka mwingine uliyomwongezea.
Nitamwombea, nitampenda, na nitamsimamia leo, kesho, na milele.
Happy Birthday, mume wangu. Mungu akubariki sana.
Thank you, Lord, for the gift of my husband.