01/09/2026
Herbs zinasafirishika na kufika popote vizuri k**a hivyo.
Karibuni wateja wetu.
0688 888 681
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from felcityagro, Stand Ndogo, Arusha.
01/09/2026
Herbs zinasafirishika na kufika popote vizuri k**a hivyo.
Karibuni wateja wetu.
0688 888 681
15/08/2026
+1
Happy B'day to us🥰🥰🥰
04/08/2026
Planting zinapatikana kwa urefu wowote utakaotaka. Hizo ndio tumeoteshea hizo mboga tukatengenezea frame ya mbao.
Inakaa juani na kwenye mvua bila kukatika sababu ni uv protected.
Karibuni sana Nane nane Arusha tumeshazitengeneza ziko tayari unachukua tu.
Zinasafirishika pia kirahisi, k**a uko mbali tunakutumia kwa bus.
Tuipumzishe mifuko ya cement kwa sasa😊
Space is not our limit.
We make the most out of space.
Tunauza planting ambazo zinahimili jua (uv protected), mbegu bora, udongo wa kupandia, sumu za kuua wadudu, magonjwa na mbolea. Zaidi ya hayo pia tunakupa maelekezo na utaalamu wa namna ya kuotesha na kutunza mboga zako.
Kibarazani au kwenye pavings unapata mboga nzuri na fresh k**a hivyo.
Tutembelee kwenye banda letu la maonesho nane nane Njiro Arusha tuelekezane.
Be inspired, elevate your home space.
0688 888 681
29/07/2026
Let us keep your varrandah Healthy and Stylish 😋😋
Designed and managed by Felcity Agro
0688 888 681
and installation by
0688 888 681
Greenhouse Installation
+255 688 888 681