Zubeda Sakuru Simba

Zubeda Sakuru Simba

Share

Habari za michezo kutoka bongo za simba sc

23/11/2024

Simba CEO Zubeda Hassan Sakuru 🔥🔥

23/11/2024

Klabu ya Simba imetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu, Francois Regis kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao na kumtangaza Zubeda Hassan Sakuru kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu

Taarifa ya Simba imeeleza Zubeda yuko mbioni kuhitimu Shahada ya Uzamivu, ana Shahada mbili za Uzamili katika Utawala wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Warwick, Uingereza na Chuo Kikuu cha Mzumbe Tanzania, pia ana Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe

Kabla ya kuteuliwa Zubeda alikuwa Meneja Miradi wa Simba akisaidia mchakato wa kutengeneza Sera na Ushauri wa Masuala ya Kiutendaji

Follow Zubeda Sakuru Simba

26/09/2024

🚨| UPDATE: PHILIPPE KINZUMBI

Winga wa klabu ya TP Mazembe, Philippe Kinzumbi ameuambia Uongozi wake wa TP Mazembe kuwa anahitaji kucheza soka katika ukanda wa Afrika Mashariki ( Tanzania ) kuelekea msimu ujao wa 2024/25.

Licha ya TP Mazembe kumpa taarifa Philippe Kinzumbi kuwa vilabu vya Club Africain na MC Alger zimepeleka ofa rasmi kwa Kunguru wa Lubumbashi ili kupata huduma ya mchezaji huyo ambaye amekuwa na msimu bora sana lakini amekataa kwenda kucheza soka Uarabuni.

Simba Sc Wanaendelea Kufanya Mpango wa Kumpata Lakini pia Baada Yanga kusikia Story zake nao wakaanza Kumfuatilia na mazungumzo na TP Mazembe mwanzoni mwa wiki ijayo ili kuipata saini ya Philippe Kinzumbi na kulingana na uhusiano wa karibu baina ya vilabu hivi viwili basi watakuwa na wakati mzuri wa kumpata Kinzumbi ambaye amekubali kucheza Afrika Mashariki.

26/08/2024

Vinara wa Mabao katika Ligi Kuu ya NBC 🇹🇿 mpaka sasa

✅ Valentino Mashaka 0️⃣2️⃣
✅ Steven Mukwala 0️⃣1️⃣
✅ Awesu Awesu 0️⃣1️⃣
✅ Heritier Makambo 0️⃣1️⃣
✅ Jean Charles Ahoua 0️⃣1️⃣

Vinara wa Assists

✅ Jean Charles Ahoua 0️⃣3️⃣
✅ Mohamed Hussein 0️⃣2️⃣
✅ Heritier Makambo 0️⃣1️⃣
✅ Djuma Shabani0️⃣1️⃣

🇹🇿
Follow page yetu BabrBabra simba

26/08/2024

Goli la Mukwala 🔥🔥

26/08/2024

MVP 🔥🔥 goli la Jean Ahoua

26/08/2024

𝗠𝗩𝗣 𝗔𝗛𝗢𝗨𝗔

Jean AHOUA mechi ya pili GOAL 1 ASSIST 3🔥🔥🔥🔥🙌

Like page yetu kwa taarifa zaidi za simba sc

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

P. O. BOX 1473
Arusha
255