12/02/2026
"Wachezaji wetu wanaendelea vizuri ukitoa Wilson Nangu ambaye taarifa ni kwamba mwishoni mwa wiki tutampeleka Afrika Kusini kwa ajili ya kwenda kufanyiwa upasuaji, ameumia kifundo cha mguu. Baada ya upasuaji tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusema atakuwa nje kwa muda gani. Kwa upande wa Yakubu Suleiman maendeleo ni mazuri na muda wowote atarejea kikosini."- Semaji Ahmed Ally.
04/11/2025
πͺRatiba ya group Stage Kundi D
28/10/2025
Mwaka 1899, klabu ya Kiitaliano AC Milan ilianzishwa. K**a ilivyokuwa kwa klabu nyingi za Italia wakati huo, uongozi wa Milan uliamua kutokuruhusu wachezaji wa kigeni kujiunga na timu yao.
Baadhi ya viongozi wa klabu hiyo hawakukubaliana na uamuzi huo na walijaribu kuupinga, lakini walishindwa. Kutokana na hilo, walijitenga na AC Milan, na mwaka 1908 wakaamua kuanzisha klabu mpya waliyoipa jina βInternazionaleβ, likiwa na maana ya βYa Kimataifaβ, kuonyesha kuwa walikuwa wazi kwa wachezaji wa mataifa yote bila ubaguzi.
Hivyo ndivyo hadithi ya moja ya upinzani mkubwa zaidi katika historia ya soka ilivyoanza β Derby della Madonnina, inayojulikana pia k**a βDerby ya Hasiraβ, kati ya AC Milan na Inter Milan.
27/10/2025
Timu ya kwanza nchini kufuzu mara saba kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF (Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika).
27/10/2025
Kongole Mwanariadha wetu Alphonce Simbu kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya Wanariadha wa Michezo ya Nje ya Uwanjani (Out of the Stadium Athlete of the Year).
Nawaombeni Watanzania twendeni kwenye ukurasa wake wa instagram ambao ni na katika ukurasa wa na kisha LIKE katika post ya picha yake ili kumpigia kura.
Hili tunaweza, Simbu ametuletea medali ya dhahabu na sasa tumwezeshe atuletee Tuzo ya Dunia.
Twende sasa.
Michezo hii ni; Road Races na Race Walking
27/10/2025
ππ² πππ§πππππ’πππππ ππ₯π’π¨π£ π¦π§πππ πππ ππ’π‘πππππ₯ππ§ππ’π‘ ππ¨π£ π π¦ππ π¨ 2025/26 . π₯°
27/10/2025
Historia imeandikwa πΉπΏ
26/10/2025
πͺπ¦Tumetinga kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
26/10/2025
CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUP STAGE
26/10/2025
Kipindi cha pili kimeanza.