08/08/2019
Babati Fitness CLUB
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Babati Fitness CLUB, Babati.
08/08/2019
23/04/2019
Wachezaji wa BABATI FITNESS CLUB wakiwa katika matukio mbalimbali wakati wa Mtanange wao dhidi ya SINGIDA VETERAN
katika mechi hiyo Babati Fitness Club iliibuka mshindi wa goli 3-0 dhidi ya Singida Veteran, Mechi ilipigwa uwanja wa Kwaraa tarehe 22/04/2019 jumatatu ya pasaka
23/04/2019
16/04/2019
Picha za mechi iliyopigwa kati ya Timu ya BABATI FITINESS CLUB na BABATI HOSPITAL SPORTS CLUB katika Viwanja vya Kwaraa mjini Babati BABATI FITINESS ilishinda kwa Goli 3 dhidi ya goli 2 za Babati Hospital Sports Club kwa bila (3-2)
05/01/2016
BFC ilipotembelea wazee wa SELAME Magugu-Babati
17/06/2015
THE RETURN OF BABATI FITNESS CLUB,,,,,MORE 2 COME
16/06/2015
THE RETURN OF,,,,,,
hbd mzee mbise
WADAU WA BABATI FITNESS SPORTS CLUB MNAJULISHWA KUWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 4 KUTAKUWA NA MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TIMU YETU (BABATI FITNESS) DHIDI YA WENZETU WA GALAPO
MECHI ITACHEZWA KWENYE UWANJA WA GALAPO KUANZIA SAA 10 KAMILI JIONI.
WADAU WOTE TUKUTANE JUKWAA LA UWANJA WA KWARAA SAA 8.30 KWA AJILI YA KUANZA SAFARI KUELEKEA GALAPO
LENGO: - KUENDELEZA MICHEZO NA KUDUMISHA UNDUGU
“PAMOJA TUNAWEZA, MICHEZO KWA AFYA”
MDAU WA BABATI FITNESS BRYAN MAGANGA AMEFIWA NA BIBI YAKE. ILIMLAZIMU KUSAFIRI KUELEKEA DAR SIKU YA JUMAMOSI MARA BAADA KUTOKA KWENYE MAZOEZI YA ASBH ALIPOPATA TAARIFA YA MSIBA HUO. TUPO PAMOJA JEMBE!!!!
wadau nini wazo....... mnaonaje tukiwa na wimbo wa babati fitness? wimbo ambao tutakuwa tumauimba kila gemu linapotaka kuanza ili kuamsha morali ya wachezaji na mashabiki naombeni mawazo yenu
MATOKEO YA FAINALI YA MASHINDANO YA MWAKA MPYA:
HOME BOYZ a.k.a "U-17" 3 - 2 BABATI FITNESS a.k.a. "Wazee wa Mujini"
ZAWADI ZILIKUWA K**A IFUATAVYO:
MSHINDI WA KWANZA: MIPIRA MITATU, FILIMBI, 100,000/= na CHETI
MSHINDI WA PILI: MIPIRA MIWILI, FILIMBI, 50,000/= na CHETI
MSHINDI WA TATU: MPIRA MMOJA, FILIMBI, 30,000/= na CHETI
MFUNGAJI BORA: ELISA LASWAI, 10,000/- na CHETI CHA UFUNGAJI BORA
GOLIKIPA BORA: HASSAN ABDALLAH, SETI YA JEZI YA GOLIKIPA NA CHETI
MCHEZAJI MWENYE UMRI MDOGO: NAJIM M***A, CHETI
TIMU YENYE NIDHAMU: MRARA FC; CHETI
KILA REFA ALIPATIWA CHETI CHA USHIRIKI.
WADAU WA SOKA TUMEHITAJIKA KWA OFISINI KWA KATIBU TAWALA MKOA WA MANYARA TAR. 06/01/2012 KUJADILI MIKAKATI YA KUIMARISHA SOKA. NI VIZURI TUWE NA STRATEGIES. NAOMBA HOJA!!!!
Click here to claim your Sponsored Listing.