Yanga Bingwa Fans Page

Yanga Bingwa Fans Page

Share

Page Maalumu ya Kusapoti club yetu ya YANGA

12/07/2025

Akili za Makolo

17/04/2025

Habari njema

14/04/2025

πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°

πŸ†
⚽️ Young Africans SCπŸ†šStand United
πŸ“† 15.04.2025
🏟 KMC Complex
πŸ•– 10:00 Jioni

08/04/2025

Training

08/04/2025

Get well soon Doctor AUCHO

06/04/2025

Training with new coach

06/04/2025

ππ‘π„π’π’πŸ’¬

"Tumejiandaa vizuri kuelekea mchezo wetu wa kesho dhidi ya Coastal Union. Tulikuwa na mchezo mzuri dhidi ya Tabora United na tunaamini tutakuwa na mchezo mzuri kesho tena dhidi ya Coastal Union, maana mchezo wa kesho hautakuwa mchezo rahisi na tunakwenda kucheza kwa umakini ili kuhakikisha tunaondoka na alama 3 muhimu"

Photos from Yanga Bingwa Fans Page's post 04/04/2025

Tumerejea Dar Es Salam salama, thanks God

03/04/2025

Mashine ya kazi. Another Man of the Match

27/02/2025

ZAMBRO TRAORE

πŸŽ™Kila mtu anafahamu ubora wa Pacome, ana ofa nyingi sana, lakini ukweli ni kwamba tupo kwenye mazungumzo na viongozi wa Yanga SC hatujafikia mwisho kwa asilimia mia moja, lakini tunakwenda vizuri kuna vitu vichache sana vimesalia kumaliza kila kitu na rais wa klabu yao (Hersi Said). K**a kila kitu kitamalizika atasaini mkataba na k**a havitamalizika anaweza kuondoka pia, sio tu Pacome hata Yao (Kouassi) naye mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu."Wakala wa Wachezaji Pacome na Yao

Credit:Mwanaspoti

17/02/2025

Points 52 kibindoni Thanks Allah!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Babati?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

113
Babati
00000