16/04/2026
: Ni magoli sita yamekaa kwenye nyavu za Mbeya City.
FT: Yanga SC 6-0 Mbeya City
Ilikuwa LIVE
H sports lady
16/04/2026
: Ni magoli sita yamekaa kwenye nyavu za Mbeya City.
FT: Yanga SC 6-0 Mbeya City
Ilikuwa LIVE
16/04/2026
MSIMAMO: Makoti pekee yanatosha kuwasaidia wasipigwe na baridi kali kule kileleniβ¦..????
16/04/2026
FTβ|
Young Africans SC 6 π 0 Mbeya City
16/04/2026
π¨_|| ππ’π’π’ππ...
YOUNG AFRICANS SC 6οΈβ£βοΈ0οΈβ£ MBEYA CITY
16/04/2026
Mbeya city wakubari Tu kwamba wanacheza Na timu kubwa Wasi force kupishana wataumia
Mexme this is football β½οΈ usijifnye k**a huwajui wanainchiiiiiii
Cheza mpira k**a kocha mzoefuπ
16/04/2026
ππβ|
Young Africans SC 5 π 0 Mbeya City
16/04/2026
Yamal
16/04/2026
π¨_|| ππ π¨ππππ¨π ππππ? π«π·β¨
β‘οΈ Michael Olise alipitia akademi tatu kubwa kabla ya kujitangaza rasmi:
β Akademi ya Chelsea β
β Akademi ya Arsenal β
β Akademi ya Manchester City β
β‘οΈ Safari yake haikuwa ya kawaida lakini hatimaye alithibitisha uwezo wake! π₯
16/04/2026
Siku Arteta akipata muda ajitokeze hadharani kumuomba radhi kila shabiki wa arsenal kwa dhambi ya kumuuza Thomas partey na kutuletea Zubimendi. Zubimendi ni mchezaji wa timu za madaraja ya kati. Hili nimeliandika mara nyingi na sijawahi kubadili msimamo. Arteta alimleta Zubimendi sababu ni mhispaniola mwenzake.
16/04/2026
Bayern wana Olise, Kane na Wachezaji wengine wengi bora... ila katikati ya hao kuna huu Mwamba Joshua Kimmich π₯
Kimmich ndio controller wa Bayern. Yeye ndie anae amua Bayern wacheze vipi, washambulie kwa haraka ama wadumuishe umiliki wa mpira kwa pasi fupifupi.
Huyu ni miongoni mwa viungo bora kwa sasaπ
16/04/2026
Wanangu mnaomfananisha Olise na Lamine mnaangalia mpira kupitia nini?