04/05/2026
๐๐โKikao cha Dharura: Sio Arsenal Pekee!โ
โZamani ilikuwa ukiona wachezaji wa Arsenal wamejikusanya duara k**a wanafanya ibada ya siri, ujue mambo yameenda kombo. Mashabiki
โ
โ walishazoeaโโah hawa tena wanajipa moyo baada ya kichapo.โ
โLakini ghafla leo, tunawaona na majirani zao Manchester City nao wameingia kwenye ile ile โmode ya duara la huzuni.โ Sasa swali linabaki: nani kamfundisha nani? ๐ค
โ
โCity walikuwa wanatufundisha mpira wa sayansi, pasi za calculator, sasa wameanza kozi ya โkukaa chini na kujifariji baada ya presha.โ Hii si ile timu ya kuogopwa, hii ni timu ya kukaa kikao k**a wanafunzi waliokosa swali la bonus!
โ
โInaonekana presha ya ligi imeamua kuwa sawa kwa woteโleo ni wewe, kesho ni mimi. Tofauti ni kwamba Arsenal walikuwa wanalia kimya kimya, City wao wanalia huku wakishangaa โhii imekuwaje?โ ๐
โ
โMwisho wa siku mpira una mambo yakeโฆ lakini ukweli mchungu ni huu:
โUkiona duara limeanza, ujue kichapo kiko karibu au kimeshapita! ๐ญ๐ฅ
Eric Jege
04/05/2026
๐๐ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : Liga Portugal ๐ต๐น
SPORTING CP 5๏ธโฃโ๏ธ1๏ธโฃ VITORIA DE MADRID
โฝ๏ธ 09" Inacio โฝ๏ธ 85" Debast (og)
โฝ๏ธ 24" Braganca
โฝ๏ธ 45" Araujo
โฝ๏ธ 62" Suarez
โฝ๏ธ 74" Luis
04/05/2026
๐๐ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : La Liga ๐ช๐ธ
SEVILLA FC 1๏ธโฃโ๏ธ0๏ธโฃ REAL SOCIEDAD
โฝ๏ธ 50" Sanchez
04/05/2026
๐๐ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : Premier League ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
EVERTON F.C 3๏ธโฃโ๏ธ3๏ธโฃ MANCHESTER CITY
โฝ๏ธ 68" Barry โฝ๏ธ 43" Doku
โฝ๏ธ 73" O'Brien โฝ๏ธ 83" Haaland
โฝ๏ธ 81" Barry โฝ๏ธ 90+6" Doku
04/05/2026
๐๐ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : Serie A ๐ฎ๐น
AS ROMA 4๏ธโฃโ๏ธ0๏ธโฃ FIORENTINA FC
โฝ๏ธ13" Mancini
โฝ๏ธ 17" Wesley
โฝ๏ธ 34" Hermoso
โฝ๏ธ 58" Pisilli
04/05/2026
๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : Premier League ๐ด
Chelsea FC 1๏ธโฃโ๏ธ3๏ธโฃ Nottingham Forest
๐ฅ Mechi imeanza kwa kasi ya ajabu, Forest wakipiga bao mapema kabisa dakika ya 1 kupitia Awoniyi!
Chelsea wakajaribu kurudi lakini presha ilikuwa kubwa sana.
โฝ Mabao:
๐น Awoniyi (1โ, 51โ) โ Hatari tupu!
๐น Igor Jesus (15โ pen)
๐น Palmer (45+9โ pen)
๐น Joao Pedro (90+3โ)
๐ Chelsea walipata matumaini kidogo mwishoni, lakini ilikuwa tayari too late!
๐ณ Forest leo wameonyesha kuwa hawatanani โ Stamford Bridge kimyaaa!
๐ฌ Maoni yako je, Chelsea wamepoteza mwelekeo au Forest wamekuwa moto kupita kiasi?
04/05/2026
๐๐Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara imeendelea kutimua vumbi leo Mei 04, 2026 kwa michezo miwili ambapo kwenye mchezo wa mapema, Wazee wa Mapigo na Mwendo, Mashujaa FC wamechokoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Wakusanya Kodi, TRA United katika dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.
Kwingineko, Wanakoma Kumwanya, Mbeya City wameibuka ma ushindi wa 2-1 dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la Sokoine, Mbeya kwenye Dabi ya Jiji la Mbeya.
FT: Mashujaa FC 1-0 TRA United
โฝ 37' Ismail Mgunda
FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City
โฝ 13' Emmanuel Martin
โฝ 19' Eliud Ambokile
โฝ 57' Marco Mhilu (OG)
โ
โ
โ๐ Follow kuwa mwanafamilia ๐ฅ
04/05/2026
๐๐Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msiwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) IGP Mstaafu Said Mwema na Mwanasoko Didier Drogba wakiwa bungeni kufuatilia Hotuba ya Waziri wa Habari leo.
Katika kikao cha leo, Mei 4, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, anawasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27.
04/05/2026
๐๐ ๐๐
๐
๐๐๐๐๐ Bayern Munich imetangaza jezi zao mpya za Nyumbani za Msimu Ujao 2026-2027.๐ด
03/05/2026
๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : La Liga ๐ช๐ธ
ESPANYOL UD 0๏ธโฃโ๏ธ2๏ธโฃ REAL MADRID CF
โฝ๏ธ 55" Vinicius Jr
โฝ๏ธ 66" Vinicius Jr
03/05/2026
๐๐ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : Ligue 1 ๐ซ๐ท
OLYMPIQUE LYON 4๏ธโฃโ๏ธ2๏ธโฃ STADE RENNES
โฝ๏ธ 37" Yeremchuk โฝ๏ธ 06" Tamari
โฝ๏ธ 42" Tolisso (p) โฝ๏ธ 48" Lepaul
โฝ๏ธ 52" Moreira
โฝ๏ธ 75" Endrick
03/05/2026
๐๐ Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Italia (Serie A) kwa mara ya 21 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Parma katika dimba la San Siro.
Inter imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha alama 82 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya mechi 35 kwani hakuna timu itakayofikia idadi hiyo ya pointi kwenye michezo mitatu iliyosalia.
FT: Inter Milan 2-0 Parma
โฝ 45+1โ Thuram
โฝ 80โ Mkhitaryan