bunda kid's football center ni kituo kinacho jihusisha na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wenye ndoto za kucheza mpira wa miguu ili kutimiza malengo yao.