Mligo Kidume lenard

Mligo Kidume lenard

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mligo Kidume lenard, Stadium, arena & sports venue, tegeta bunju, Bunju.

25/10/2019

Kikosi kesho asubuhi kitaondoka Jijini Dar es Salaam kwenda Arusha ambako Jumapili Oktoba 27, 2019 kitacheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Singida United.

25/10/2019

Taarifa rasmi kutoka tff

25/10/2019

BREAKING NEWSS..
Klabu ya Ndanda yapata Ajali ikiwa safarini kuelekea Kagera
Wachezaji watano wamepata majeraha miguuni ambao ni

paul maona
hemed koja
Javu
Said
samweli

Habar zaidi endelea kufollow mligo kidume renard

Tuendelee kuwaombea

06/10/2019

Matokeo EPL

16/09/2019

KIKOSI CHA WACHEZAJI 25 WA TIM YA TAIFA KWA WACHEZAJI WA NDANI KILICHOTANGAZWA KWAAJILI YA KUFUZU CHANI DHIDI YA SIDANI

09/09/2019

HIVI NYIE MAKAMANDA, MLIVYOTANGAZA KUSTAAFU KIPINDI KILE BAADA YA AFCON MLIMAANISHA NINI?

Coach wa Taifa Stars anapaswa kuandaa mbadala wa hawa watu mapema maana siku wakistaafu kweli, tutapata tabu sana.

Kwenye makundi sina shaka, kwa uwezo wake Allah tutakuwa nao.

Hata kwa bahati tukifanikiwa kupita kwenye makundi, naamini kwenye mtoano tutakuwa nao.

Sasa, je ikitokea tumefanikiwa kufuzu kwenda kombe la dunia 2022, bado watakuwepo kwenye timu?

Kocha, andaa vijana wa kuwapokea wazee wa kazi mapema.

Yote kwa yote, ili tufuzu kwenda kombe la dunia, tuna mechi 8 za kucheza. Kwenye makundi tuna mechi 6 ambazo 3 ni za nyumbani na 3 za ugenini.

Tukiongoza kundi, tunaenda kucheza mtoano, mechi moja ugenini na moja nyumbani.

Tukivuka hapo, tunajikuta tuko Qatar tayari

Yaa Rabbi tujaalie tufuzu
Aamiin๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

09/09/2019

FAIDA TATU KWA MVUTAJI SIGARA.

1.Mvuta sigara huwa hazeeki.

2.Mvuta sigara huwa haumwi na mbwa.

3.Mvuta sigara nyumbani kwake huwa haingii mwizi.

Kivipi Hasa..

1. Tunasema "Hazeeki" kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu.

2. Tunasema "Haumwi na mbwa" kwa vile Kifua na mapafu yanapooza hulazimika kutembea na bakora.

3. Na tunasema "Nyumbani kwake haingii mwizi" kwa sababu huwa inafika kipindi hapati usingizi akikesha kukohoa usiku kucha. Hapo mwizi anajua kwamba jamaa yupo macho kumbe kikohozi tu...!

SHARE kwa washkaji, ndugu, jamaa na wote wenye mapenzi mema.

04/09/2019
24/08/2019

Matokeo ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara leo 24/8/2019

24/08/2019

Ratiba ya ligi kuu ya Vodacom tz leo

23/08/2019

KIKOSI CHA TAIFA STAR'S KWAAJILI YA KUKABILI BURUNDI 04 /9/2019

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Bunju?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Tegeta Bunju
Bunju