π’ππŽπ‘π“π’ 𝐇𝐃

π’ππŽπ‘π“π’ 𝐇𝐃

Share

MICHEZO NA BURUDANI⚽πŸ”₯

24/03/2026

football β™₯️

πŸ‘οΈπŸ‘ƒπŸ‘οΈ

25/02/2026

fundiπŸ”₯

04/01/2026

Habari?

05/03/2025

Ahmed arajiga πŸ”₯

26/02/2025

M BET WAOMBA KUSITISHA MKATABA SIMBA

Mdhamini mkuu wa Simba Sports Club, Kampuni ya kubashiri M-Bet imeomba kusitisha mkataba wake na Simba mwishoni mwa msimu huu wa 2024/2025.

Simba Sports Club na M-Bet waliingia udhamini Julai 14 kwa mujibu wa taarifa na Agosti 1 wakafanya sherehe ya utambulisho ambayo ilitaja pamoja na thamani ya mkataba huo wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 26.1.

Hadi mwisho wa msimu huu wa 2024/2025 mkataba huo utakuwa umetumikiwa miaka miatatu pekee.

Klabu ya Simba kwasasa ipo kwenye hatua za kutafuta mdhamini mkuu mpya, Simba SC imeonesha kukubali ombi la M-Bet kusitisha nao mkataba.

26/02/2025

Huwa mnabeti,?

Nijibu kwenye comment tuanze kushusha odds mcheleβœ…

25/02/2025

Hali ilivyo mpaka Sasa kwenye vita ya ufungaji Bora.

Binafsi naona kiatu hakitaenda nje ya mapacha wa kariakoo.

Tufollow,,π’ππŽπ‘π“π’ 𝐇𝐃

25/02/2025

Kwenye kumi unampa ngapi

10

01/02/2025

Turn on

09/12/2024

Klabu ya Singida Black Stars yenye makao yake mkoani singida itawatoa kwa mkopo baadhi ya nyota wake ambao wamekuwa na wakati mgumu kupata nafasi ya kucheza mara kwa Mara kutokana na ushindani wa namba uliopo kikosini hapo na ubora wa nyota wake wa ndani na nje ya Tanzania.

Waliopo kwenye orodha ya kutolewa kwa mkopo ni Habibu Kyombo ambaye inaelezwa kuwa atajiunga na Pamba Jiji ya Mkoani Mwanza sambamba na Hamad Majimengi

Aidha Kelvin nashon anatajwa katika orodha hiyo na klabu ya Young Africans inahusishwa na uhamisho huu wa mkopo kwa kijana huyu ambaye ni miongoni mwa viungo wa maana nchini.

10/11/2024

🚨 Chanzo changu cha kuaminika kutoka Yanga kimeniambia, ni kweli wamemalizana na kocha Miguel Gamondi na taarifa kuhusu kocha mpya mchakato unaendelea na hivi unavyosoma tayari imeanza mchakato wa kumnasa kocha mpya kutoka Algeria.

β€œIshu ya kocha Gamondi imemalizika na tayari mchakato wa mbadala wake upo kwenye hatua nzuri za kumalizana naye, muda wowote kuanzia sasa mambo yakiwa tayari taarifa zitatolewa na timu itaendelea na maandalizi kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika,” kilisema chanzo hicho.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

𝐃𝐀𝐑 𝐄𝐒 π’π€π‹π€π€πŒ
Dar Es Salaam