04/09/2025
Baada ya Rais wa heshima wa Simba Mo Dewji kumrejesha kundi Babra Gonzalez mashabiki wengi wa Simba wamefurahishwa na taarifa hiii .
atakuwa mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi pale Simba enzi akiwa CEO wa timu hii watu wengi walivutiwa na Uongozi wake kwa sababu alikuwa ni mtu asiyependa Kona Kona ndani ya timu hiii .
Bila shaka urejeo wake unaenda kuleta kitu kipya ndani ya kikosi Cha Simba
03/09/2025
Kiungo amesema haondoki Tanzania mpaka acheze Simba au Yanga sababu uwezo wa kucheza timu hizo anao.
"K**a wana sajili kwa uwezo, hakuna mchezaji kwenye hizo timu anayecheza nafasi k**a yangu ataniweka benchi, najiamini naweza kwahiyo siku moja nitacheza timu yoyote kati ya hizo" Ameniambia Chukwu.
Nyota huyo anamaliza mkataba wake msimu huu katika klabu ya Singida Black Stars na atakuwa huru msimu ujao.
03/09/2025
📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili mlinda mlango, Yakoub Suleiman Ali kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea kwa Maafande wa JKT Tanzania.
Yakoub (23) ambaye ndiye golikipa namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ameonesha ubora mkubwa akiwa na JKT Tanzania sambamba ns Taifa Stars hivyo anakwenda kutoa upinzani mkubwa mbele ya Moussa Camara.
Ujio wa Yakoub unakwenda kumfanya Camara apunguze makosa msimu ujao kwa kuwa anajua benchi yupo kipa imara mwenye kumudu mechi zenye presha kubwa hasa baada ya kufanya vizuri kwenye michuano ya CHAN2024 hususani mechi dhidi ya Morocco licha ya Stars kupoteza.
03/09/2025
RASMI
Wilson nangu ni mnyama🦁🦁
05/08/2021
makamuzi yanaenderea Na chama lá hii ni yakwetu sote
.drinks.tz