30/04/2023
T O THE SEMI FINAL๐ช๐ช
Klabu ya yanga sc imetinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya mchezo wao wa leo kumalizika kwa sare ya bila kufungana wakicheza na klabu ya Rivers United
Ongera Sana yanga sc kwa kuandika historia mpya ya kutinga hata hii ya nusu fainali kila la kheri yanga Afrika kwenye mechi zilizobakia
25/02/2023
Bado masaa machache tu kabla ya mechi ya vipers dhidi ya simba sc
Nipe utabili wako sasa
25/12/2022
Mchezo ulikuwa mgumu San lakini Young Africans Sports Club] ni timu kubwa Sana so kupitia Hilo wameonesha ukubwa wao mbele ya wanalambalamba
--------------------------------------------------------------
โ๏ธKiukweli mpira waliocheza yanga leo ni wa kiwango Cha chini Sana kwasababu kuanzia kwenye nafasi ya viongo na mabeki wote walipotea
โ๏ธNO FEISAL NO PROBLEM
Nimegundua kuwa feisal yeye ni mpenda Sana pesa na sio kukuza uwezo wake wa mpira na kuonekena mbali Zaidi
โ๏ธ ni mtu sahihi kwasasa kuonesha uwezo wake na maajabu yake akiwa na hile JEZI yenye Mambo mengi naongelea namba 10
โ๏ธPoint tatu (3) muhimu kwa Young Africans Sports Club]
โ๏ธ anafikisha idadi ya mabao kumi na nne (14)
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅYanga sc
Endelea kumfollow
Main sponsor
โ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ ๐๐๐๐๐๐๐
12/10/2022
Bado siku 18 kuelekea kwenye siku ya kuzaliwa ya CEO wetu wa manyinyi shop, ozilsoccertv na habaritvone si mwingine ni officiaoziljraddo kila la kheri CEO