SokaLetu

SokaLetu

Share

#karibu upate taarifa za
*Usajili
*Matokeo ya mechi
*Udaku wa kimichezo
*Sokaletu3.Blogspot.Com

10/08/2025

๐Ÿšจ๐Ÿšจ BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espรฉrance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.

De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila k**a watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.

Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.

Follow Usajili na hansrafael14

10/08/2025

โ€œNiseme tu Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mchezaji.Al Masry wamekuja na ofa ila Yanga wamegoma wanataka dola Million moja kumwachia wakati Mayele tu aliondoka kwa dola 500,000.Niseme tu Yanga wana roho mbaya na hawataki kumwachia wao wana hela hivyo wana kiburi.

"Walikuwa wanamlipa Million mbili ila ndio mwaka huu wamemlipa Million 15 ila hawataki akachukue zaidi. Naiomba Serikali watazame sana usimamizi wa mpira. Wengi wanadidimiza na kuwaonea Wachezaji kisa hali duniโ€

- Jasmine Razack ambaye ni Msimamizi wa Clement Mzize akizungumza na Jembe FM. Follow na

10/08/2025
11/05/2025

NBC Premier League leo Jumapili

Saa 10:00 jioni, KMC watakuwa uwanja wa nyumbani KMC Complex wakicheza na Simba SC

Hii ni mechi ya kwanza kwa Kocha Adam Mubesh kuiongoza KMC.

Je ataanza kwa ushindi ama mnyama kuendelea kugawa dozi?

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

04/03/2025

Vita ya ndugu moja ndani ya klabu hapa ndipo napenda kuona hii battle inaendelea hadi msimu unaisha..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

02/03/2025

Wamepokonywa tonge mdomoni dakika za jiooooooooooooooโ€ฆ..!!!

Sare ya pili mfululizo kwa Al Ittihad....

FT: Al Ittihad 1-1 Al Okhdood

19/02/2025

Naombeni utabiri wenu wa kikosi Cha Leo Cha Simba vs Namungo

16/02/2025

Hello guys

30/01/2025

Ukiwa unaangalia mechi ni mtangazaji gani huwa unafurahia sana kumsikiliza....

18/01/2025

CAFCL/CAFCC: Tazama mtangazaji wa soka akitangaza goli la Stephane Azi Ki huku mtangazaji akishangilia pembeni mpaka amenyanyuka kwenye kiti.

Ni pashapasha kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya MC Alger na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kati ya Simba dhidi ya CS Constantine.

Hii ilikuwa ndani ya studio za .

Mechi ya Yanga ni Jumamosi saa 10:00 jioni LIVE

Mechi ya Simba ni Jumapili saa 10:00 jioni LIVE

(Picha na )

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam