Wanaotafuta Kazi Na Wanaotafuta Wafanyakazi Tuko Hapa

Wanaotafuta Kazi Na Wanaotafuta Wafanyakazi Tuko Hapa

Share

Tunapatikana YouTube Subscribe
https://rb.gy/waq7b

08/11/2025

🌟 NAFASI ZA KAZI MPYA – ALAF TANZANIA 🌟

Kiwanda cha ALAF Limited, kinachoongoza nchini katika utengenezaji wa mabati na vifaa vya ujenzi, kinatangaza nafasi 128 za ajira kwa Watanzania wote wenye nia na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii! 💪

🔧 Nafasi zinazopatikana:
Wasaidizi wa uzalishaji

Mafundi wa mitambo na umeme

Wafanyakazi wa ghala na usafirishaji

Wahandisi wa viwanda

Wauzaji na mawakala wa masoko

Wahasibu, maafisa rasilimali watu

Madereva na wasaidizi wa ofisi

✅ Sifa kuu:
Umri: miaka 20 – 45

Elimu: angalau Kidato cha Nne (au zaidi kulingana na nafasi)

Uaminifu, uwajibikaji na uwezo wa kufanya kazi kwa timu

Uzoefu wa kazi viwandani utapewa kipaumbele

UNAWEZA KUTAZAMA LIVE MUDA HUU YOUTUBE
MANEGE WA ALAF TANZANIA ANAZUNGUMZA NAFASI ZA KAZI
👇👇
https://youtu.be/NPt4Ili08aE

TAHADHALI,
USITOWE PESA ILI UPATIWE AJIRA NAFASI ZA KAZI
NI BURE 👏


17/10/2025

TANGAZO LA KAZI KIWANDA EDMARK TANZANIA

KIWANDA KINAHITAJI WAFANYAKAZI WAPYA



Kiwanda cha EDMARK TANZANIA

, kinachoongoza kwa uzalishaji wa Vitu mbalimbali bora nchini, kinapenda kuwajulisha Watanzania wote wenye sifa na ari ya kufanya kazi kuwa kuna nafasi 115 za ajira zilizopo kwenye idara mbalimbali za kiwanda chetu kilichopo Pwani.

Nafasi zilizopo:
1. Mafundi wa Mashine (Mechanical Technicians) – 20 nafasi

2. Wahandisi wa Mitambo na Umeme (Engineers) – 15 nafasi

3. Wahudumu wa Uzalishaji (Production Operators) – 25 nafasi

4. Wakaguzi wa Ubora (Quality Control Officers) – 10 nafasi

5. Madereva wa Malori na Forklift – 15 nafasi

6. Wahudumu wa Usalama (Security Guards) – 10 nafasi

7. Wahudumu wa Usafi (Cleaners) – 10 nafasi

8. Wasaidizi wa Maghala (Store Assistants) – 5 nafasi

9. Maafisa Utawala na Rasilimali Watu (HR & Admin Officers) – 5 nafasi

10. Wapishi Katika kiwanda (Cooking)

Sifa za jumla:
👇👇

1. Awe raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 20 – 45.

2. Elimu kulingana na nafasi ( Darasa la saba n.k

3.Uzoefu wa kazi katika sekta husika utapewa kipaumbele.

4. Uadilifu, uaminifu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii.

Jinsi ya Kuomba:
Waombaji wote wanatakiwa kutuma barua ya maombi, wasifu binafsi (CV) na nakala za vyeti husika kwa anuani ifuatayo:

Kwa Maelekezo ZAIDI Tazama LIVE Muda huu Link ipo chini
👇👇

https://youtu.be/JOdIlpQowp4

• TANGAZO LA AJIRA NYATI...

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu,
Edmark Tanzania
S. L. P. 1267
Pwani – Tanzania

Au kwa barua pepe: [email protected]

Mwisho wa kutuma maombi:
Maombi yote yawasilishwe kabla ya tarehe 25 /10/2025
Kumbuka: Ni wale tu watakaofanikiwa kuingia kwenye mchujo watakaowasiliana kwa hatua zaidi z

17/10/2025

TANGAZO LA KAZI KIWANDA EDMARK TANZANIA

KIWANDA KINAHITAJI WAFANYAKAZI WAPYA

Kiwanda cha EDMARK TANZANIA...

TAZAMA LIVE MUDA HUU YOUTUBE NAFASI ZILIZOTANGAZWA
👇👇
https://youtu.be/JOdIlpQowp4

CHANGAMKIA FURSA HII

TANGAZO LA AJIRA JAMBO PRODUCTS 03/10/2025

TANGAZO LA KAZI KIWANDA CHA JAMBO PRODUCTS

👇👇KWA MAELEKEZO ZAIDI TAZAMA LIVE MUDA HUU

https://youtu.be/bkHWe_z7J_k



CHANGAMKIA FURSA HII

TANGAZO LA AJIRA JAMBO PRODUCTS 🔔 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – JAMBO PRODUCTSKiwanda cha Jambo Products Ltd kinapenda kuwatangazia wananchi wote wenye nia ya kujiunga nasi kuwa kuna nafasi ...

02/10/2025

🔔 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – JAMBO PRODUCTS

Kiwanda cha Jambo Products Ltd kinapenda kuwatangazia wananchi wote wenye nia ya kujiunga nasi kuwa kuna nafasi za kazi zilizo wazi kwa sasa.

Tunatafuta wafanyakazi wenye bidii, uaminifu, na ari ya kufanya kazi katika mazingira ya kiwanda.

Nafasi Zilizopo:
Wasaidizi wa uzalishaji (Production Assistants)

Wahudumu wa ghala (Store Attendants)

Wahudumu wa usafi (Cleaners)

Wafanyakazi wa mashine (Machine Operators)

Wahitajika madeleva

Sifa za Waombaji:
Awe na umri kati ya miaka 18 – 35.

Elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form Four). Darasa la saba

Uwezo wa kufanya kazi kwa shinikizo na muda wa ziada.

Uaminifu, nidhamu na ushirikiano katika kazi.

Uzoefu wa kazi kiwandani utapewa kipaumbele.

KWA MAELEKEZO ZAIDI TAZAMA LIVE MUDA HUU
LINK IPO CHINI
👇👇
https://youtu.be/bkHWe_z7J_k

Mwisho wa Maombi 16/10/2025

Mjulishe ndugu na Jamaa

TAHADHALI
USITOWE PESA ILI UPATIWE AJIRA
KATAA RUSHWA TUIJENGE TANZANIA


21/09/2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – KIWANDA CHA KILUVYA

Kiwanda cha KILUVYA kinapenda kuwatangazia wananchi wenye sifa stahiki kuwa kinahitaji wafanyakazi katika nafasi zifuatazo:

1. Wahandisi wa Uzalishaji (Production Engineers)

Shahada ya Uhandisi (Mitambo/Umeme/Industrial).

Uzoefu wa angalau miaka 2 katika mazingira ya viwandani.

2. Mafundi Sanifu (Technicians)

Diploma/ Cheti cha Ufundi (Umeme, Mitambo, Mashine za Kiwanda).

Uwezo wa kushughulikia matengenezo na uendeshaji wa mitambo.

3. Wahasibu/Wasaidizi wa Fedha

Diploma au Shahada ya Uhasibu/Fedha.

Uelewa wa mifumo ya uhasibu wa kielektroniki (mf. Tally, QuickBooks).

4. Wasaidizi wa Uzalishaji (Production Assistants)

Elimu ya kidato cha nne na kuendelea.

Uwezo wa kufanya kazi kwa zamu na kwa shinikizo.

5. Wahudumu wa Usafi na Huduma Nyingine

Elimu ya msingi au sekondari.

Nidhamu, uaminifu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii.

📌 SIFA ZA JUMLA

Awe Mtanzania mwenye umri kati ya miaka 18–40.

Uadilifu, bidii na uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano.

Uwezo wa kuwasiliana kwa Kiswahili (Kiingereza kitahesabika k**a faida).

📝 JINSI YA KUOMBA
Waombaji wanapaswa kuwasilisha:

Barua ya maombi ikieleza nafasi unayoomba.

Wasifu binafsi (CV).

Nakala za vyeti vya taaluma na vya shule.

Picha ndogo ya pasipoti (passport size).

Maombi yatumwe kwa:

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu
Kiwanda cha KILUVYA
S. L. P. [115 ]
KILUVYA – [Dar es salaam/Kigamboni]
Barua pepe: [ industry@Infokiluvya ]

⏰ Mwisho wa kutuma maombi: [2/10/2025].

⚠️ MUHIMU: Ni waombaji watakaokidhi vigezo na kuchaguliwa kupitia mchujo pekee ndio wataitwa kwenye usaili.

KWA MAELEKEZO JINSI YA KUFIKA ENEO HUSIKA
TAZAMA LIVE VIDEO
??👇
https://youtu.be/g3F1mjz6OYk


21/09/2025

TANGAZO LA AJIRA KWA WATANZANI WOTE

Kiwanda Cha KILUVYA kinatangaza Nafasi za kazi kwenye Kiwanda hicho

Wanahitajika Watu 120 hiki ni Kiwanda kipya
Ambacho kitafunguliwa rasimi tar 12/10/2025
Nafasi zimetangazwa Leo C.O Wa Kiwanda hicho

Kwa maelekezo jinsi ya kufika eneo husika Tazama LIVE Muda huu
👇??
https://youtu.be/g3F1mjz6OYk

Changamkia fursa hii mjulishe ndugu yako na Jamaa.

TAHADHALI
USITOWE PESA ILI UPATIWE AJIRA
KATAA RUSHWA TUIJENGE TANZANIA 🙏

03/09/2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – NYATI CEMENT

Kiwanda cha Nyati Cement, kinachoongoza kwa uzalishaji wa saruji bora nchini, kinapenda kuwajulisha Watanzania wote wenye sifa na ari ya kufanya kazi kuwa kuna nafasi 115 za ajira zilizopo kwenye idara mbalimbali za kiwanda chetu kilichopo Pwani.

Nafasi zilizopo:
Mafundi wa Mashine (Mechanical Technicians) – 20 nafasi

Wahandisi wa Mitambo na Umeme (Engineers) – 15 nafasi

Wahudumu wa Uzalishaji (Production Operators) – 25 nafasi

Wakaguzi wa Ubora (Quality Control Officers) – 10 nafasi

Madereva wa Malori na Forklift – 15 nafasi

Wahudumu wa Usalama (Security Guards) – 10 nafasi

Wahudumu wa Usafi (Cleaners) – 10 nafasi

Wasaidizi wa Maghala (Store Assistants) – 5 nafasi

Maafisa Utawala na Rasilimali Watu (HR & Admin Officers) – 5 nafasi

Wapishi Katika kiwanda (Cooking)

Sifa za jumla:
Awe raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 20 – 45.

Elimu kulingana na nafasi ( Darasa la saba n.k

Uzoefu wa kazi katika sekta husika utapewa kipaumbele.

Uadilifu, uaminifu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii.

Jinsi ya Kuomba:
Waombaji wote wanatakiwa kutuma barua ya maombi, wasifu binafsi (CV) na nakala za vyeti husika kwa anuani ifuatayo:

Kwa Maelekezo ZAIDI Tazama LIVE Muda huu Link ipo chini
👇👇
https://youtu.be/l2Jz-c9k-Kw

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu,
Nyati Cement Company,
S. L. P. 1267
Pwani – Tanzania

Au kwa barua pepe: [email protected]

Mwisho wa kutuma maombi:
Maombi yote yawasilishwe kabla ya tarehe 20 Septemba 2025.

Kumbuka: Ni wale tu watakaofanikiwa kuingia kwenye mchujo watakaowasiliana kwa hatua zaidi za

03/09/2025

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA NYATI CEMMENT

Kiwanda cha kuzalisha cement Tanzania, Nyati
kinatangaza Nafasi za Ajira kwa Watanzani wote
Nafasi 115 ongezeko la Wafanyakazi wapya Katika Kiwanda cha Nyati

Umri 22 mpaka 49
Usajili utaanza ijumaa Wiki hii kwa maelekezo Zaidi Tazama video hii Link ipo chini
👇👇
https://youtu.be/l2Jz-c9k-Kw

Changamkia fursa hii mjulishe ndugu na Jamaa

20/08/2025

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

Uongozi wa Kiwanda cha Metro unawatangazia Watanzania wote wenye nia na sifa stahiki kuwa kuna nafasi 112 za ajira zilizopo kiwandani.

Usajili wa waombaji utafanyika kuanzia Jumatatu ijayo katika ofisi za kiwanda.

Tunawahimiza Watanzania wote wenye nia ya kufanya kazi kuwasilisha maombi yao kwa wakati.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali fika moja kwa moja katika kiwanda chetu au wasiliana kupitia ofisi zetu ndani ya saa za kazi.

Imetolewa na:
Uongozi, Kiwanda cha Metro
Kwa maelekezo zaidi
TAZAMA LIVE VIONGOZI WA METRO WANAZUNGUMZA LINK IPO CHINI
🙏👇👇👇
https://youtu.be/yM6kvSs3Ftw

Mshirikishe Ndugu na Jamaa

26/07/2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – KIWANDA CHA KIRUWA

Kiwanda cha Kiruwa kinapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa kinahitaji wafanyakazi katika idara mbalimbali k**a ifuatavyo:

1. Wahudumu wa Kiwandani – Nafasi 113
Sifa za Mwombaji:

Awe na elimu ya angalau darasa la saba au kidato cha nne.

Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa zamu (shift).

Awe na afya njema na asiwe na rekodi ya utovu wa nidhamu.

Uzoefu wa kazi viwandani utapewa kipaumbele.

2. Wasaidizi wa Karani – Nafasi 7
Sifa za Mwombaji:

Kidato cha nne au sita.

Uwezo wa kutumia kompyuta, hasa Microsoft Word na Excel.

Awe na nidhamu, uaminifu, na uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano.

3. Dereva wa Gari la Mizigo – Nafasi 50
Sifa za Mwombaji:

Leseni ya daraja C au zaidi.

Uzoefu wa miaka 2 au zaidi.

Uwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu na kusafiri umbali mrefu.

Kwa maelekezo ZAIDI Tazama LIVE video
LINK ipo chini
👇??
https://youtu.be/GoyStVQTyVk

Mshirikishe Ndugu na Jamaa kuhusiana na Ajira HIZI

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam