26/06/2023
โSisi tunapenda ushirikiano na wanachama pamoja na mashabiki ndio maana hata kukosolewa tunapenda lakini lugha itumike ya staha kwakuwa isipokuwa hivyo huwa tunajisikia vibaya k**a binadamu,โ
MURTAZA MUNGUNGU, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
26/06/2023
Kesho yetu nzuri tunaijenga pamoja.
Tuendelee kushirikiana tukiamini katika
ndio msingi wa mafanikio yetuโ๐ผ
26/06/2023
๐จ๐ฌ EXCLUSIVE: SIMBA SC NI TIMU YA MAISHA YANGU
๐ฃ๏ธ "Simba naipenda hata K**a ntakuwa Timu nyingine Simba Nitimu ya maisha yangu IPO SIKU ntarudi Simba K**a mchezaji Ama kiongozi Ama shabiki ama Mwanachama" - Jonas Mkude
26/06/2023
Simba tunachukua kombe m simu ujao Nani anaunga mkono hili wazo comment apo ๐๐๐
10/06/2023
SIMBA BABA LAO CAF KWA MKWANJA
๐จSimba aliishia Robo fainal ya kombe la club bingwa Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 650,000 sawa na TSH 1,524,250,000/- (bilioni moja milioni mia tano ishirini na nne na laki mbili na hamsini tu)
๐จYanga alimaliza nafasi ya Pili ya kombe la shirikisho barani Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 625,000 Sawa na Tsh.1,465,625,000(Bilioni moja milioni mianne sitini na tano na laki sita na ishirini na tano elfu tu
Kwa maana hiyo Simba SC kaizidi Yanga kiasi Cha USD 25,000/ Sawa na TSH.58,625,000/(milioni hamsini na nane laki sita na ishirini na tano elfu tu) hata wakiuza ๐
zao zote hazitaweza kufikia kiasi hicho hivyo Simba SC kachukua (MPUNGA/MKWANJA,PESA) mkubwa mno
10/06/2023
๐
Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Mei, 2023;
๐จ๐ฉ Henock Inonga
๐ง๐ฎ Saidi Ntibazonkiza
๐น๐ฟ Shomari Kapombe
Tembelea tovuti yetu ya simbasc.co.tz ili kupiga kura.
10/06/2023
Unastahili hili ๐
Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23, Saidi Ntibazonkiza.
03/02/2023
๐ข Kikosi cha leo dhidi ya Singida Big Stars.
๐ฑ๐พโโ๏ธ Inonga amerudi kikosini.