11/05/2026
Wanachi Young Africans wametozwa faini ya Tshs Milioni 30 kwa kosa la kukataa kutumia chumba rasmi cha kubadilishia nguo kwenye mchezo wa Kariakoo Derby uliopigwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
HABARI ZOTE NA MICHEZO NA BURUDANI, KITAIFA NA KIMATAIFA UTAZIPATA HAPA 👐
(USIKAE KINYONGE)
11/05/2026
Wanachi Young Africans wametozwa faini ya Tshs Milioni 30 kwa kosa la kukataa kutumia chumba rasmi cha kubadilishia nguo kwenye mchezo wa Kariakoo Derby uliopigwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
11/05/2026
Meneja Walter Harson amepigwa Faini ya Tsh Mil 1 kwa kumsukuma Chama.
10/05/2026
Dada zetu pambaneni huko huyu kijana kabla ya kurudi kwao Zambia aache Mbegu hata 3, k**a nchi itashindwa kumpa Uraia k**a alivyosema Mhe: Makonda, basi tuweke mkakati rasmi huyu jamaa DNA yake ibaki hapa! Chama asiondoke bure, napendekeza hili jukumu apewe Pipytidya!
Naomba kuwasilisha wazee
10/05/2026
'
2 - 0
Duh!
10/05/2026
Kocha wa Union Berlin, Marie Louise Eta ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza timu Ujerumani na kushinda mechi katika Bundesliga.
Pia ndiye mwanamke wa kwanza kufanya hivyo katika ligi tano kubwa barani Ulaya, mafanikio makubwa sana.
10/05/2026
Huyu mtoto anasahau kuna maisha nje ya Real Madrid, akiendelea hivi atakuwa na mwisho mbaya sana.
Nipo nimekaa pale.
Kagaba sports
03/02/2026
🪵🪵🪵SIMBA SCC SH*TUKENI.
Huyo Murtaza Mangungu ana misheni na Hersi wa Yanga kuihujumu Klabu ya Simba
anayevujisha Siri za Simba, hakuna mkakati unaopangwa Simba usiwafikie Yanga.
anayetumika kuwaloga wachezaji, nyie mnaona zile mistakes wanazofanya wachezaji wa simba k**a za kibinadamu... No no no! wanatupiwa vitu na Mangungu.
Jiulizeni ni Kwanini alipoingia Mangungu tu ndio ukawa mwisho wa Klabu ya Simba kuchukua makombe.
Huyo Mpuuzi anatakiwa kupelekewa moto na viongozi wa Simba kuanzia Leo mtengeni msimshirikishe chochote.
wa Dar acheni umama Juzi ilipaswa kuwa siku ya mwisho Kwa Mangungu kuliona jua🤣