25/04/2026
Kesho kazini tena.
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simonaytz, Sport & recreation, Dar es Salaam.
25/04/2026
Kesho kazini tena.
25/04/2026
Kariakoo Derby ndani ya uwanja wetu wa nyumbani, Major General Isamuhyo Stadium.
KWA HABARI ZA MICHEZO FOLLOW UKRASA WETU Simonaytz
24/04/2026
BOSS KASEMA MIMI NI NANI NIBISHE
24/04/2026
KLABU YA SIMBA SC IMEWEKA HISTORY NYINGINE WHATSAPP HUKU REAL MADRID AKIWA NDIO NAMBA MOJA KWENYE ORODHA YA VILABU BORA DUNIANI.
SIMBA YAKIMBIZA DUNIANI.
Kampuni ya utafiti wa masuala ya michezo kidijitali kutoka Ujerumani, RESUILTSsports, imetoa ripoti mpya inayoorodhesha vilabu 20 vya soka duniani vyenye ufuatiliwaji mkubwa zaidi kwenye majukwaa ya WhatsApp Channels. Utafiti huo unaonyesha namna vilabu vikubwa vinavyozidi kutumia majukwaa ya mawasiliano ya moja kwa moja kuwafikia mashabiki wao duniani.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, vilabu vikongwe barani Ulaya vinaongoza orodha hiyo kutokana na ukubwa wa mashabiki wao kimataifa pamoja na uwekezaji mkubwa katika maudhui ya kidijitali. Hata hivyo, jambo la kuvutia zaidi ni uwepo wa vilabu vitatu kutoka Afrika vilivyofanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo ya dunia.
Vilabu hivyo ni Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Al Ahly SC ya Misri, pamoja na Simba SC ya Tanzania. Mafanikio haya yanaashiria ukuaji mkubwa wa soka la Afrika kwenye anga ya kidijitali, huku mashabiki wakizidi kuhamia kwenye majukwaa ya kisasa k**a WhatsApp Channels kufuatilia habari, matokeo na taarifa za vilabu vyao.
Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa matumizi ya WhatsApp k**a chombo cha mawasiliano kati ya vilabu na mashabiki yameongezeka kwa kasi, yakitoa fursa mpya za kibiashara, matangazo na uhusiano wa karibu zaidi kati ya pande hizo mbili.
Kwa ujumla, matokeo haya yanaweka wazi kuwa mapinduzi ya kidijitali yanaendelea kubadilisha namna soka linavyoendeshwa na kufuatiliwa duniani, huku Afrika nayo ikiendelea kujipenyeza kwenye ramani ya kimataifa.
KWA HABARI ZA MICHEZO FOLLOW UKRASA WETU Simonaytz
23/04/2026
Mwalimuuuuu.
23/04/2026
Mlandege mbili... na mpira ni mapumziko..!!
Mlandege 2-1 Singida BS (Samatta 28', Mbappe 45'+1 / Mishamo 9')
.
KWA HABARI ZA MICHEZO FOLLOW UKRASA WETU Simonaytz
23/04/2026
JONATHAN AGOMEA ADHABU YA SIMBA SC🦁
JONATHAN SOWAH AGOMA KUFANYA ADHABU ALIYOPEWA NA KLABU YAKE YA SIMBA
Jonathan Sowah amegoma kufanya mazoezi na timu ya vijana U20 na kulipa faini ya pesa akidai kuwa adhabu hiyo haipo kwenye makubaliano yake na klabu kimkataba
Sowah alitajwa na Simba kwa utovu wa nidhamu na kuhusika katika kuihujumu klabu hiyo kwenye mechi mbalimbali tangu amejiunga na Simba kutoka Singida Black Stars
bora
KWA HABARI ZA MICHEZO FUATA UKRASA WETU Simonaytz
23/04/2026
ARSENAL nani kawaroga yaani ndani ya siku kumi watu wamepinduka kutoka point tisa mpaka mnalingana na sasa wako juu kwa tofauti ya Magoli.
Inamaana nyie mlikuwa hamchezi? Ila PEP duh.
KWA HABARI ZA MICHEZO FOLLOW UKRASA WETU Simonaytz
23/04/2026
Mchezo wa kwanza wa Muungano Cup 2026.
22/04/2026
Maandalizi ya mech Yamekamilika 🏟️🙏Muungano Cup
22/04/2026
Kwenye mchezo wa kesho 23April kikosi Cha SIMBA SC kitashuka uwanjani kukipiga na MAFUNZO FC pia kwenye kikosi Cha Simba sc BAJABER
22/04/2026
Striker la magoli MWANGOSI 🦁