18/01/2023
Unamuonaje mwalimu anastahiki au tumepigwa konz la utosi ?
hili ni group la habar za michezo tu
haturuhusu. siasa. dini. wala ukabila haturuhusu
18/01/2023
Unamuonaje mwalimu anastahiki au tumepigwa konz la utosi ?
25/08/2022
Operation bakisha bocco🙏
Ni wakati wa wana simba kumpa heshima captain wetu tumepigana nae vita kwenye nyakati zote za furaha na huzuni tusikubali bocco aende popote ulipo mwana simba share picha ya bocco na ukiambatanisaha na neno bakisha bocco
14/08/2022
Inonga aache ujinga anacheza sana na majukwaa anatucost pia akubal kutumwa na ottara
14/08/2022
Mwalimu angejaribu kutengeneza pacha ya mamadou ottara na onyango inanga anacheza sana na majukwaa inatucost sana
14/08/2022
Ya jana yameisha kiukweli tunapitia nyakati ngumu nyakati ambazo busara na uvumilivu vinahitajika ila ni nyakati chafu tu hazitodumu milele simba nguvu moja
wapenz wapendwa wanasimba sorry kwa kupotea hewani muda mrefu so tunarudi kwa pindi kwa habari motomoto za michezo haswa club yetu pendwa ya mnyama usikae mbali