06/10/2026
๐จ๐๐๐๐๐๐
๐
โ๏ธ Kumekuwa na uvumi na taarifa zisizo rasmi zinazosambaa kwamba mchezaji hatari, Libasse Gueye, amepata jeraha na hivyo hatokuwepo kwenye Kariakoo Derby ya Oktoba 10, 2026.
Lakini mpaka sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na Simba SC wala taarifa iliyothibitishwa kutoka kwa mtu wa karibu na mchezaji inayosema kwamba Libasse Gueye ameumia au kapatwa na changamoto yoyote inayoweza msababisha akakosa mchezo huo.
Ila Ukweli uliopo ni kwamba Mwamba Libasse Gueye yupo mazoezini, anaendelea na maandalizi yake k**a kawaida kuelekea mchezo mkubwa wa Kariakoo Derby. ๐ฆ๐ช
Derby hii haikimbiliki, Mfanye mnavyoweza ila msikimbie awamu hii๐