Ommyfitness

Ommyfitness

Share

WhatsApp: +255628908800
Nothing worth than your Health.

12/05/2026

Mazoezi kwa waliojifungua (Save kwa baadae) na share.

NB: Hakuna diet itakusaidia kurejesha tumbo hili, bali ni mazoezi sahihi.

Follow for more. Nitumie neno COACH kwa personal training training. WhatsApp 0628908800

12/05/2026

Asiyejua historia, anaweza kurudia makosa - Dizasta Vina

12/05/2026

Mazoezi mapya ya Tumbo (Save kwa baadae) na share.

NB: Hakuna diet itakusaidia kukaza nyama za mwili na kujenga Misuli isipokuwa mazoezi.

Follow for more. Nitumie neno COACH kwa personal training training. WhatsApp 0628908800

12/05/2026

12/05/2026

Muda wa kulala ukipungua, nguvu zinapungua, focus inapungua z moody inapungu, unakuwa mzito kufanya maamuzi na Nidhamu kuondoka hivyo jitahidi Lala mapema & Lala muda ule ule.

11/05/2026

Sikia, hivi viungo sio urembo wa chakula ni dawa, tiba na kinga.

Vitumie mara kwa mara, kila siku.

11/05/2026

Wanakuuzia Uoga.

Photos from Ommyfitness's post 11/05/2026

Ni wiki mpya, Kumbuka haya;

-Usile asubuhi
-Mlo ni mmoja au miwili
-Wanga sio lazima kula
-Nyanyua vitu vizito japo x3
-Oga maji ya baridi tu
-Kunywa maji ya chumvi
-Umakini na kazi inayokupa kipato
-Tembea japo hatua 6,000/siku
-Pata mwanga wa jua
-Lala kabla 11:30pm, Amka mapema
-Sali/Swali asubuhi & jioni
-Mfungo wa masaa 48 kila weekend

It’s a new week to crush some goals.

Usisahau kunitafuta for personal training & Mpangilio wa vyakula kulingana na malengo yako - WhatsApp 0628908800

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00