Arsenal inaumiza sana Furaha yote imeisha inaliza hadi watoto
DJUMA TV
Ukurasa rasimi wa DJUMA TV karibu tupashane Habari Mbali Mbali | Kwa Matukio na Taarifa tupigie +255 684 692 584 #HiiniyakilaMmoja
Azam hawawezi Kusahau Hili Goli Huyu Mbrazili Alikuwa balaa Sana....
Andika Jina lake Hapo...
✍️||
“Baada ya Haji Manara kuteuliwa kuwa Msemaji wa Timu zote za Taifastars watu wanajiuliza Msemaji kazi yake kuhamasisha k**a nankuipigia Debe Timu au anaenda kuwa Afsa Habari na Mawasiliano wa Timu zote za Taifastars?”
Tuandikie hapo kwenye Comments tofauti ya Afsa Habari na Msemaji wa Timu
Drop Comments yako k**a unakili kupokea Maombi ya Mtoto huyu
RAIS SAMIA MGENI RASMI HAFLA YA KUHITIMISHA MAFUNZO YA MAAFISA NA WAKAGUZI WASAIDIZI 719
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe ya Kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi ambayo yamechukua miezi sita ambapo kesho tarehe 28/5/2026 mafunzo hayo yakihitimishwa ambapo wahitimu Mia Saba na Kumi na Tisa wakitarajiwa kuhitimu mafunzo hayo.
Akizungumza baada ya kutembelea na kukagua maandalizi ya shughuli hiyo na maeneo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi, jijini Dar es Salaam ambapo mafunzo hayo yamefanyika, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema ni maboresho makubwa yamefanywa katika Jeshi la Polisi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt.Samia Suluhu akigusia na maeneo mengine yaliyofanyiwa maboresho makubwa.
Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza Majaji wa Mahak**a ya Rufani kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia kiapo cha kazi pamoja na misingi ya weledi, uadilifu na uzalendo.
Akizungumza leo Mei 26, 2026, Ikulu Dar es Salaam, katika hafla ya kuwaapisha Majaji wa Mahak**a Kuu walioteuliwa hivi karibuni kuwa Majaji wa Mahak**a ya Rufani, Rais Samia amesema majaji wanapaswa kuepuka upendeleo, chuki na huba katika utoaji wa maamuzi ya kimahak**a.
Aidha, amesema nafasi ya Jaji wa Mahak**a ya Rufani siyo cheo pekee, bali ni dhamana kubwa ya kulinda haki za Watanzania na kuimarisha imani ya wananchi kwa mfumo wa utoaji haki nchini.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam