19/05/2026
Hapo nani kupendeza zaidi ya mwenzie?
Natoa taadhari kwa mwanachama yeyote aliyejiunga na ukurasa huu . Tuache kuandika maneno ya matusi,
19/05/2026
Hapo nani kupendeza zaidi ya mwenzie?
11/05/2026
Star ✨✨✨✨ wa Simba sc wakiinjoy life .Simba nguvu moja
04/04/2026
Dunia inaelekea wapi? Mungu akirudisha Sodoma na Gomola wakulaumiwa watu K**a hawa
24/03/2026
Jamani wachina wanatafuta ugomvi na Mimi nimewaambia waniwekee supu na viazi mviringo , Ndiyo waniletee supu hii kweli jamani?
02/03/2026
Simba Sc wamenyimwa Gola la halali kabisa . Wanachokifanya marefalii wa Tanzania ni kuendekeza kuchukua posho za watu na kuwa ahidi ushindi pasipokuitazama iyo tinauwezo wa kupata ushindi ? Mwisho wa siku wanawakatisha tamaa wengine kwa juhudi wanazojituma.
24/02/2026
Mama kaenda kazini hatutaki kuendekeza umbea . Tambua kuwa umbea hauna posho.
06/02/2026
Umeiona iyo picha kwa makini ? Umegundua Kuna picha ya wanyama haina Gani wataje.
05/02/2026
Ledy Jey Dee Ndiyo msanii mkongwe hapa Nchini kwa kutoa nyimbo nzuri zenye mahudhui mazuri Tanzania
02/02/2026
Viongozi wa Simba tafakarini hili swala kwa makini, kwanini mashabiki hawamtaki Mangungu?
Sherehe ilifana mno Mungu awaongoze kwenye Maisha yenu tunawapenda sana