Simba Yangu

Simba Yangu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simba Yangu, Sports Event, lumo mwanzo, Temeke, dar es salaam, Dar es Salaam.

Simba Yangu ni page ambayo inazungumzia habari za Simba Fc kwa lengo la kujengana kama wa shabiki na wapenda soka, vitendo vya utovu wa nidhamu na lugha za matusi pamoja na utapeli hauna nafasiοΏ½οΏ½

25/03/2025
28/01/2023

Kosi la leo #

21/12/2022

Leo huko kwao, kwetu kwaoπŸ’₯☠️πŸ’ͺ

21/12/2022

KAGERA vs SIMBA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye ligi…. HAKUNA SARE!!!

Kagera wameshinda nne, Huku Simba wakishinda saba. Je, leo tutarajie sare ya kwanza?

Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE

01/11/2022

Taarifa za kuaminika ni kwamba, klabu ya Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inaendelea na mazungumzo na kocha Roberto Oliveira πŸ‡§πŸ‡· kutoka Vipers πŸ‡ΊπŸ‡¬ ili kupata saini na huduma ya kocha huyo ili kuongeza nguvu kwenye eneo la benchi la ufundi la Simba SC.

Kocha Roberto Oliveira πŸ‡§πŸ‡· ndio kocha pekee aliyeifikisha klabu ya Vipers πŸ‡ΊπŸ‡¬ kwenye hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika, Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ilikuwa imesimamisha mchakato wa kupata kocha mpya lakini hivi sasa inaendelea na mchakato huo.

Mazungumzo baina ya klabu ya Simba na kocha mkuu wa Vipers πŸ‡ΊπŸ‡¬ ambae ni Roberto Oliveira πŸ‡§πŸ‡· yamefikia pazuri huku kocha huyo hitaji lake kubwa lingine k**a ataondoka Vipers πŸ‡ΊπŸ‡¬ inatakiwa aondoke na msaidizi wake ambae ni Marcelo Cardoso πŸ‡§πŸ‡·

27/10/2022

Kikosi hicho apo kwa mapambanoπŸ™πŸ™πŸ¦πŸ’ͺπŸ’―

25/10/2022

"Watu wanasema mayele hakuwa katika kiwango kizuri leo, wamesahau alikuwepo Joash Onyango HALF MAN, HALF IRON

Naamini k**a onyango angekuwepo katika mechi ya August 13 Mayele asingefunga yale magoli mawili" JR

25/10/2022

π—–π—˜π—¦π—”π—₯ π—Ÿπ—’π—•π—œ π— π—”π—‘π—­π—’π—žπ—œ 🚨

Ni MANZOKI tu amebaki Nusu Fainali MNYAMA anatinga asubuhi .πŸ“Œ

Tukutane Dirisha Dogo..

Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Henock Inonga
Sadio Kanoute
Clatous Chama
Mzamiru Yassin
Cesar Manzoki
Moses Phiri
Agoustine Okrah

πŸ˜‚ (Povu ruksa)

24/10/2022

Hapo ndio Shida ilipoanzia🀣🀣🀣 hyu keeper .

24/10/2022

Boss anasema Ball itembee⚽⚽⚽πŸ₯…πŸ”₯

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Lumo Mwanzo, Temeke, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam