07/12/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Wananchi Yanga wako Dodoma ambapo leo majira ya saa 1:15 usiku watashuka katika dimba la Jamuhuri kuikabili Coastal Union katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC
Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kuwania alama tatu muhimu mbele ya wagosi wa kaya ambao ndio wenyeji wa mchezo huo
Coastal Union wamehamisha makazi yao kwa muda kutoka jijini Tanga hadi mkoani Dodoma baada ya uwanja wa Mkwakwani kufungiwa
Mechi inayozikutanisha Yangu na Coastal Union haijawahi kuwa nyepesi. Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves amekiri kuwa kwa historia na rekodi za hivi karibuni vijana wake leo wanapaswa kuwa na ubora mkubwa ili kupata ushindi
YANGA FAMILY GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
04/12/2025
Dube ⚽
Pacome ⚽
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
03/12/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga umepangwa kupigwa uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma
Bodi ya ligi imethibitisha kuwa mchezo huo utapigwa Jumapili Disemba 07, saa 1:15 usiku
Coastal Union ambao ndio wenyeji wa mchezo huo wameupeleka mkoani Dodoma baada ya Uwanja wa Mkwakwani kufungiwa
Kabla ya mchezo huo kesho Alhamisi Yanga itashuka katika dimba la KMC Complex kumenyana na Fountain Gate
YANGA FAMILY GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
02/12/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Baada ya kufanya vyema katika michuano ya kimataifa ligi ya mabingwa barani Afrika wakikusanya alama nne katika mechi mbili sasa Wananchi wanarejea katika uwanja wa mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga itaikaribisha Fountain Gate katika mchezo ambao wananchi watahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tano mfululizo
Mchezo huo utapigwa Disemba 04 katika uwanja wa KMC Complex
YANGA FAMILY GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
01/12/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Wakati CAF walipofanya droo ya makundi CAF CL Yanga ilipotangazwa kuwa kundi moja na timu za Al Ally, JS Kabylie na AS FAR maoni ya kuisikitikia Yanga yalikuwa mengi
Baadhi ya wachambuzi waliibeza Yanga wakiamini haitakuwa na nafasi katika kundi hilo mbele ya timu kutoka Kaskazini mwa Afrika ambazo zote zina historia ya kutwaa taji la ligi ya mabingwa
Lakini baada ya kukamilika kwa mechi mbili lugha zimeanza kubadilika baada ya Yanga kuanza vyema kampeni yake ya kusaka robo fainali katika kundi hilo la kifo
Wananchi wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama 4 sawa na Al Ally inayoongoza kwa tofauti ya uwiano wa mabao
Mabingwa hao wa soka Tanzania bara wamewafunga midomo wale waliokuwa wakiibeza kwani mpaka sasa ndio timu pekee inayopeperusha vyema bendera ya Tanzania katika mashindano ya CAF msimu huu
Yanga ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo huku watani zao Simba waliokuwa wakipambwa kwa kila aina ya sifa wamepoteza mechi zote mbili k**a ilivyo kwa Azam Fc ambao wameanza vibaya katika kombe la Shirikisho
Singida BS angalau jana iligoma kufungwa nyumbani ikipata sare ya bao 1-1 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini
YANGA FAMILY GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
28/11/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Dakika 90 zimemalizika Morocco na kushuhudia mechi ya kundi B kati ya AS Farabat dhidi ya Al Ahly ikimalizika kwa sare ya bao 1-1
Al Ahly anaendelea kushika nafasi ya kwanza akiwa na alama nne sawa na Yanga ambayo imetoka suluhu ya bila kufungana dhidi ya JS Kabylie
AS FAR inashika nafasi ya tatu sawa na JS Kabylie ambayo inaburuza mkia
28/11/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013922
ALAMA MOJA UGENINI MBELE YA MABINGWA WA ALGERIA JS KABYLIE
SASA YANGA INAONGOZA KUNDI B IKIWA NA ALAMA 4
28/11/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
NINI KIFANYIKE KIPINDI CHA PILI ILI YANGA KUPATA SARE AU USHINDI KATIKA MCHEZO HUU WA UGENINI
28/11/2025
Kikosi cha Yanga dhidi ya JS Kabylie
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
28/11/2025
TAARIFA ZOTE MPYA ZA YANGA UTAZIPATA NDANI YA GROUP KUBWA LA YANGA WHATSAPP TUMA NENO NIUNGE YANGA KWENDA WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kushuka dimbani leo majira ya saa 1 jioni kuikabili JS Kabylie katika mchezo wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika
Wachezaji wa Yanga wanayo nafasi ya kutafuta ushindi wa pili ugenini k**a wataongeza umakini katika safu ya ushambuliaji
Baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya Al Ahly ni wazi Kabylie wataingia kwa kushambulia ili kupata matokeo
Huu unaweza kuwa mtego kwani Yanga wanaweza kutumia mashambulizi ya kushtukiza na kufunga mabao
Pacome Zouzoua, Prince Dube Maxi Nzengeli na Mohamed Doumbia wanaweza kuwa hatari kwenye safu ya ulinzi ya Kabylie ambayo imeonekana kuwa na mapungufu
YANGA FAMILY GROUP BORA LA WHATSAPP CHIMBO LA HABARI ADMINI MKUU WHATSAPP NAMBA
0629013923
0629013923