Johnson Mtenga

Johnson Mtenga

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Johnson Mtenga, Sports, Dar es Salaam.

08/12/2020

Tetesi πŸ”΄ βšͺ

Klabu Ya Pyramids Ya Nchini Misri imeripotiwa Kumfuatilia Winga Wa Simba SC Luiz Jose Miquissone,25 Kwa nia Ya Kumsajiri.

Luiz kwa Sasa anakadiriwa Kuwa Na Thamani Ya Bilioni 2 ambayo Ni sawa na Thamani ya Clatous Chama.
.
.
Kwa Tetesi Kibao Za Soka Gonga Link HiiiiiπŸ‘‰πŸ‘‰ Sports Tetesi

21/10/2020

Rekodi za Morisoni

Goli O
Asisiti 1 (Kwa Mbinde)πŸ˜‚πŸ˜‚
Kutaka Kupigana mara 1
Kustawisha Ndevu mara 1O
KuPost Instagram Mara 96

Hongereni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

21/10/2020

Kwahiyo πŸΈπŸΈπŸ˜‚πŸ˜‚ mnavaa Suti Zenu na Raba LiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈ

Ninasikia GSM amezichukua amezihifadhi kwa ajili ya Matumizi ya Mwakani Tena Kwenye Siku ya MwananchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈ

16/10/2020

Kipindi kile Kuku Kishingo alipigwa na Kagere Bonge la Mbichwaa😁😁

Ndo Maana Siku Hizi Kagere anapangwa Kwenye Kila kikosi cha πŸ˜‚πŸ˜‚

16/10/2020

Utambulishaji K**a Huu Upo 🐸🐸 Tu Yaani Dunia NzimaπŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe Uliona wapi Jezi Moja inashikiliwa na Watu 2O🐸🐸😊😊

16/10/2020

Carlinhos ana Mwezi Mmoja 1 TuπŸ”₯πŸ”₯ hapa Bongo lakini Tayari amefahamiana na Mastaa Kibao.Hadi Wema Sepetu ameanza KujipendekezaπŸ˜‚

Lakini Chama Clatous ana Miaka 7 Yupo Bongo lakini Sisi Mastaa Hatuna Hata Mda naeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ–πŸ–

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam