18/04/2023
Chelsea :(
TIME magazine person of the year, 2006 | Your best plug for tech servises & products | AIRTEL ODU & AIRTEL POCKET WIFI agent: 0687892129
18/04/2023
Chelsea :(
30/05/2022
Taarifa kutoka Yanga.
30/05/2022
05/10/2020
Msimamo wa ligi kuu
🔝
05/10/2020
Matokeo ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania bara
04/10/2020
Matokeo ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania bara
FT: Gwambina Fc 2-0 Ihefu Fc
FT: Namungo Fc 0-1 Mwadui Fc
FT: Mbeya city 0-0 Tanzania prisons
FT: Yanga Sc 3-0 Coastal Union
04/10/2020
Uongozi wa umetangaza kumfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic raia wa Serbia
anaendeleza record yake mbovu ya kutodumu kwenye vilabu alivyowahi kufundisha
🇹🇿Yanga SC siku 37
🇿🇦Polokwane siku 113
🇷🇼 APR siku 159
🇧🇼 Jwaneng Galaxy Siku 189
🇿🇲 Zesco siku 165
21/09/2020
Matokeo ya jumla ya michezo ya ligi kuu round ya 3
Polisi TZ 1-1 JKT
Ihefu 0-1 Mtibwa
Prisons 1-0 Namungo
Kagera 0-1 Yanga
Mbeya 0-1 Azam
Coastal 0-0 Dodoma
Simba 4-0 Biashara
Michezo iliyosalia..✍🏻
⏱ 08:00 mchana
MWADUI VS KMC
⏱ 10:00 Jioni
RUVU VS GWAMBINA
21/09/2020
GOOD MORNING 🇹🇿
Debut goal ✅
WELCOME TO THE VPL CHRIS MUGALU 🤙🏻⚽
21/09/2020
Matokeo ya mchezo wa jana wa ligi kuu
FT: SIMBA SC 4-0 BIASHARA UTD
⚽ Chama 9' & 26'⚡
⚽ Medie Kagere 52'
⚽ Mugalu 85'
Mabingwa watetezi wa VPL jana wamerejesha heshima mjini huku mshambuliaji wao mpya akifunga bao lake la kwanza kwenye VPL
Nani ndio mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa?? 🤔