Temeke jogging association TEJA

Temeke jogging association TEJA

Share

MICHEZO AFYA NA UCHUMI

Photos from Temeke jogging association TEJA's post 04/03/2024

TWENZETU MBAGALA SEASON 4 - AFISA MICHEZO TOKA BARAZA LA MICHEZO TANZANIA (BMT)
CHARLES MAGUZU AKIMUWAKILISHA MGENI RASMI NAIBU WAZIRI WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MHE: HAMIS MWINJUMA AMBAE HAKUTOKEA KWENYE BONANZA HILI KUTOKANA NA MAJUKUMU MBALI MBALI YA KISEREKAL-
:
AFISA MICHEZO BMT ALIWATAKA MAFISA MICHEZO WILAYA KUHAKIKISHA VIKUNDI VYA JOGGING CLUB (mbio za pole pole) VINASAJILIWA.
:
UONGOZI WA VILABU VYA JOGGING MBAGALA UNASHUKURU SANA VILABU VYOTE VYA JOGGING KUTOKA SAHEMU MBALI MBALI NJE NA NDANI MKOA WA DAR ES SALAAM:
:
Temeke jogging association TEJA National Sports Council of Tanzania Temeke Manispaa Rashidi Mvogogo Sozigwa Kumbuka Janeth Maseke Ramadhan Kitunguu Umoja WA Jogging Mbagala Wizara Ya Habari Vijana Utamaduni Na Michezo

07/12/2023

HERI YA SIKU YA KUZALIWA Sozigwa Kumbuka
M/KITI WA UMOJA WA VILABU VYA JOGGING -MBAGALA
MUNGU AKUBARIKI SANA KIONGOZI

Photos from Temeke jogging association TEJA's post 05/12/2023

AMAZON JOGGING CLUB - Majirani kabisa na ally jogging ,Kaiju jogging MBAGALA SAKU.tulikuwa nao kwenye mbio za upatu siku ya jumapili.
:
Temeke jogging association TEJA National Sports Council of Tanzania Twahir Hassan Makwega Kaiju Jogging

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Temeke
Dar Es Salaam