05/04/2025
Linen outfit available dukani Joe perfect wear
π Mtoni Mtongani
βοΈBoxer Unique za kiume
βΌοΈDelivery Massage Service
βͺοΈ @thejoma_official
βͺοΈ @relaxation_massagetz
05/04/2025
Linen outfit available dukani Joe perfect wear
11/01/2025
K**a we ni mwanchi jipige kifuani tukutane round inayofuata TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup
20/11/2024
3rd kitππ€
17/08/2024
Today π°
11/08/2024
Caption thisππ₯
08/08/2024
Nawapenda wananchiππ°
15/09/2023
ππππππ ππππππ
Popote Mtakapokuwa Yatawafika Mauti.
Septemba 9,2018 roho ya mbunifu wa mavazi na mwandishi Crisda Rodriguez iliuacha mwili wa damu na nyama ukiwa hauna pumzi ya uhai baada ya kuugua maradhi ya saratani ya tumbo kwa muda mrefu.Siku hii ilikuwa muhimu sana kwasababu mwalimu wa kweli wa maisha udongo ulimpenda sana.
Crisda Rodriguez anabaki kuwa binadamu bora kabisa kwasababu alitumia nyakati zake za mwisho kuacha maandishi yatakayoishi milele,maandishi yaliyojaa hekima kuhusu utajiri,Afya njema na kifo.
Mwalimu wa kweli wa maisha Crisda Rodriguez katika siku za mwisho aliandika maneno haya akiwa kitandani na kuyahifadhi kwenye diary yake.
π1.Nilikuwa na gari la gharama kubwa zaidi duniani katika karakana yangu lakini sasa inabidi nitumie kiti cha magurudumu.
π2.Nyumba yangu inauza kila aina ya nguo zenye chapa,viatu na vitu vya thamani,lakini sasa mwili wangu umefungwa kwa kitambaa kidogo nilichopewa na hospitali.
π3.Nina pesa nyingi bank lakini sasa haziwezi kunisaidia.
π4.Nyumba yangu ilikuwa k**a ngome,lakini sasa ninalala kwenye vitanda vya hospitali.
π5.Kutoka hoteli ya nyota tano hadi hoteli ya Almasi,lakini sasa hivi natumia muda mwingi katika hospitali kuhama kutoka maabara moja hadi nyingine.
π6.Nimetoa saini za mamia ya watu lakini safari hii kumbukumbu za matibabu ni sahihi yangu.
π7.Nimekuwa na vinyozi saba wa kurembesha nywele zangu,lakini sasa Sina hata unywele moja kichwani mwangu.
π8.Kwenye ndege ya kibinafsi,naweza kuruka popote,lakini sasa nahitaji wasaidizi wawili ili kutembea Hadi kwenye lango la hospitali.
π9.Ingawa kuna vyakula vingi,sasa mlo wangu ni vidoge viwili Kwa siku na matone machache ya maji ya chumvi usiku.
π10.Hii nyumba,gari hii,ndege hii,samani hii,bank hii,sifa na umaarufu kupitia kiasi hakuna hata kimoja chenye manufaa kwangu,kati ya haya hakuna kitakachonipumzisha,hakuna kitu halisi isipokuwa KIFO.
Hatimaye mwisho wa siku utajiri mkubwa kwenye maisha ya mwanadamu ni Afya Njema.
Pumzika kwa amani Crisda Rodriguez maandishi yako yamejaa machozi na busara lukuki.