viwanja_magari_deals

viwanja_magari_deals

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from viwanja_magari_deals, Dar es Salaam.

10/08/2021

JAMBOLAND REALTY CO. LTD
Ni furaha yetu kuona wateja wanafika kwenye miradi yetu na wanapata huduma inayowavutia. Kwa wewe ambae unatafuta eneo la makazi, biashara, makazi na biashara au eneo la uwekezaji. Karibu sana jamboland realty co. Ltd.
Miradi yetu:
1. Madale msigani centre
2. Madale nyakasangwe
3. Kibaha (boko timiza)
4. Kiluvya madukani
5. Bagamoyo
6. Kigamboni

0621 78 7155- Meneja mauzo na miradi.

Ofisi zetu;
DERM HOUSE, 7th Floor, office No. 1, Makumbusho Area, near Makumbusho Tigo HQ building, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibuni sana.

30/07/2021

MRADI MPYA WA MADALE.
Hatimae mradi mpya wa madale (msigani centre) tumeungua rasmi. Viwanja ni vizuri na vimepimwa kwa ukubwa tofauti.

Viwanja vipo msigani centre yaani ni ni kilomita 5 toka barabara kuu ya lami (wazo hill road).
Bei ni 23,000/=tu kwa mita moja ya mraba.
Malipo ni cash (taslim) au installment (kwa awamu).
Huduma zote za kijamii zipo kwenye mradi.

Je unapenda kuishi madale?
ulikuwa na ndoto za kumiliki ardhi madale?
Hujachelewa.
Kwa bei nafuu kabisa ambayo imejumuisha na bima ndani yake unakwenda kumiliki ardhi nzuri kwa ajili ya makazi na familia yako.

Kwa maelezo zaidi wasialiana nasi kwa namba:
0787 404165- Idara ya Masoko
0621 78 7155- Idara ya Miradi
0755 701 790-Mkurugenzi mtendaji.

Ofisi zetu;
DERM HOUSE, 7th Floor, office No. 1, Makumbusho Area, near Makumbusho Tigo HQ building, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibuni sana.

30/07/2021

MADALE-NYAKASANGWE
Mradi Mpya wa Madale Nyakasangwe tumeufungua rasmi,
Viwanja vipo msigani centre yaani ni ni kilomita 5 toka barabara kuu ya lami.
Bei ni 18,000/= tu kwa mita moja ya mraba.
Malipo ni cash (taslim) au installment (kwa awamu).
Huduma zote za kijamii zipo kwenye mradi.

Kwa maelezo zaidi wasialiana nasi kwa namba:

0621 78 7155- Idara ya Miradi

Ofisi zetu;
DERM HOUSE, 7th Floor, office No. 1, Makumbusho Area, near Makumbusho Tigo HQ building, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibuni sana.

23/07/2021

MADALE NEW PROJECT.

23/07/2021

JAMBOLAND REALTY CO. LTD
Karibu katika Miradi yetu ya KILUVYA MAKURUNGE.
Miradi yetu ni ya gharama nafuu na mteja anaweza lipa kidogokidogo mpaka miezi 10.
Bei zote zimejumuisha upatikanaji wa hati mara mteja anapomaliza kulipia kiwanja chake.

Miradi yetu yote imepimwa na imeidhinishwa na mipango miji chini ya wizara ya ardi, nyumba na maendeleo ya makazi.

Taarifa mpya kwa sasa tuna bima ya ardhi kwa wateja wetu wote, hivyo mteja akianza kulipia kiwanja anachohitaji tunamlipia na bima bure, lengo akipata matatizo katikati ya kipindi cha malipo basi bima yake iweze kumsaidia kulipia gharama zilizobaki.

Hakuna gharama yoyote kupelekwa site kuangalia viwanja.
Mara tu baada ya kuridhika na hali za viwanja mteja atapatiwa mkataba na taratibu zite za ofisi jinsi ya kulipia.

Kwa maelezo zaidi wasialiana nasi kwa namba:

0621 78 7155- Idara ya Miradi

Ofisi zetu;
DERM HOUSE, 7th Floor, office No. 1, Makumbusho Area, near Makumbusho Tigo HQ building, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibuni sana.

20/07/2021

Mradi mpya wa GOBA KINZUDI. Eneo linauzwa la sqm 865, kuna nyumba (pagale) ndani yake ya vyumba vitatu. Maji na umeme vipo eneo la mradi na ni barabarani kabisa. Kuona mradi ni bure na bei ya kuanzia ni 60mil. Kwa mawasiliano 0621787155 karibuni sana

20/07/2021

Makurunge kwa Omary. Mradi unaelekea mwishoni bado viwanja saba tu. Bei 14,000/= huduma za kijamii zinapatikana na eneo lipo barabarani kabisa. Kwa mawasiliano 0621787155.

20/07/2021

Kiluvya-Makurunge mradi mpya unaenda kwa 8000/= kwa mita moja ya mraba. Kuna viwanja 28 karibuni sana. Huduma zote za kijamii zipo. Kwa mawasiliano 0621787155.

Photos from viwanja_magari_deals's post 30/06/2021

JAMBOLAND REALTY CO. LTD
Karibu katika Miradi yetu ya KIBAHA (Boko Timiza), KIGAMBONI (mwasonga, mwongozo, mbutu na Kibugumo.
Miradi yetu ni ya gharama nafuu na mteja anaweza lipa kidogokidogo mpaka miezi 10.
Bei zote zimejumuisha upatikanaji wa hati mara mteja anapomaliza kulipia kiwanja chake.

Miradi yetu yote imepimwa na imeidhinishwa na mipango miji chini ya wizara ya ardi, nyumba na maendeleo ya makazi.

Taarifa mpya kwa sasa tuna bima ya ardhi kwa wateja wetu wote, hivyo mteja akianza kulipia kiwanja anachohitaji tunamlipia na bima bure, lengo akipata matatizo katikati ya kipindi cha malipo basi bima yake iweze kumsaidia kulipia gharama zilizobaki.

Hakuna gharama yoyote kupelekwa site kuangalia viwanja.
Mara tu baada ya kuridhika na hali za viwanja mteja atapatiwa mkataba na taratibu zite za ofisi jinsi ya kulipia.

Kwa maelezo zaidi wasialiana nasi kwa namba:
0787 404165- Idara ya Masoko
0621 78 7155- Idara ya Miradi
0755 701 790-Mkurugenzi mtendaji.

Ofisi zetu;
DERM HOUSE, 7th Floor, office No. 1, Makumbusho Area, near Makumbusho Tigo HQ building, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibuni sana.

15/06/2021

Mradi mpya wa MBUTU KIGAMBONI. Mradi upo barabarani kabisa na karibu na beach ya MBUTU. Vimebaki viwanja 7 tu na bei yake ni 15,000/= bila hati na 18,000/= pamoja na hati. Viwanja vyote vimepimwa na vina mawe (beacon). Mawasiliano 0621787155

10/06/2021

Kontena Zinauzwa;
__________________________________________
40ft bei 2,900 USD (6,800,000/=) Tshs
20ft bei 1,900 USD (4,500,000/=) Tshs
In good condition

Piga simu 0764906973

09/06/2021

Wateja wa kibaha karibuni sana. Mradi upo boko mnemela (km5 toka tumbi hosptali) Maeneo yanapatikana kwa mil 3.5 tu. Maeneo yapo maeneo mazuri na huduma za kijamii zote zipo. Ni karbu na tumbi hosptali na pia ni karibu na morogoro road. Kupelekwa site muda wote.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam