07/04/2026
Usiku wa ligi ya mabingwa barani ulaya hii Leo kwenye Robo fainali 🔥🔥
Real Madrid v Bayern Munchen
Sporting CP v Arsenal
Mechi zote zinachezwa majira ya saa nne usiku
karibu Pba sports
utapata taarifa ;
kuhusiana Na masuala mbalimbali ya soka🔥🔥
Tetesi Za usajili
uchambuzi . Kwa mawasiliano; 0766721290
07/04/2026
Usiku wa ligi ya mabingwa barani ulaya hii Leo kwenye Robo fainali 🔥🔥
Real Madrid v Bayern Munchen
Sporting CP v Arsenal
Mechi zote zinachezwa majira ya saa nne usiku
09/03/2026
INAELEZWA KUWA Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya matajiri wa Dar Es Salaam klabu Azam dhidi ya Wananchi klabu ya Yanga imerejeshwa Benjamin Mkapa
Mechi itachezwa Jumapili hii Machi 15, 2026.
07/03/2026
❤️🤍🇨🇴 Luis Díaz amefikisha mabao 20 na kutoa asisti 16 akiwa na FC Bayern Munich katika mashindano yote kwenye msimu wake wa kwanza klabuni hapo.
07/03/2026
Goli kipa wa Singida Black stars Na timu ya taifa ya Nigeria , Amas Abasogie amekutwa Hana hatia baada ya uchunguzi kufanyika Kwa madai ya kuwa alikua anahusishwa Na upangaji wa matokeo Na Sasa rasmi atarudi kikosi
06/03/2026
Wakali wa clean sheets Hadi sasa
06/03/2026
Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ( TPLB ) katika kikao chake cha Machi 4,2026 ilipitia mwendendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo
Mechi Namba 054: Young Africans SC 0-0 Simba SC
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la kuingia kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar kupitia mlango usio rasmi kuelekea mchezo tajwa hapo juu Machi Mosi, 2026, kinyume na matakwa ya kanuni ya 17:21 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia kwenye uwanja wa Amaan, ambapo walitumia chumba cha kufanyia mikutano ya Wanahabari kwa shughuli hiyo kabla ya kuanza mchezo, kinyume na matakwa ya kanuni ya 17:20 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.
06/03/2026
Ratiba ya michezo ya hatua ya 32 Bora CRDB Bank Federation Cup 2025/2026
06/03/2026
Msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza Baada ya mchezo wa jana ambao Crystal Palace alimfunga Tottenham Hotspur goli 3 kwa 1
05/03/2026
Wakali wa mapishj ya mabao 🔥🔥🔥⚽
05/03/2026
Kiungo wa Klabu ya Singida Black Stars, Khalid Aucho ameomba radhi baada ya hivi karibuni klabu yake ya Singida Black Stars Kutoa taarifa ya kumsimamisha kwa muda wa miezi mitatu kwa kosa la utovu wa nidhamu wa kutoroka kazini.
04/03/2026
Mwanzo wa Allan Okello katika klabu ya Young Africans SC umekuwa wa kusuasua:
Mechi 9
Magoli 0
Asisti 1
Mashabiki wataendelea kuwa na matumaini kwamba ataingia kwenye kiwango chake halisi hivi karibuni na kuanza kuonyesha uwezo wake mkubwa uwanjani. 💚💛
04/03/2026
Matokeo ya EPL usiku huu
Brighton 0 v Arsenal 1
Aston villa 1 v Chelsea 4
Man city 2 v Nottingham 2
Fulham 0 v West ham 1
Newcastle 1 vs Man U 1 ( mechi inaendalea dakk55)