Phesto Simba

Phesto Simba

Share

PATA HABARI ZA SIMBA SPORTS CLUB KWENYE PAGE HII

19/03/2026

Mchezo umekwisha.

19/03/2026

Ouraaaaaaaaaaaaaaaaa.

19/03/2026

Kikosi cha leo.

Taarifa za kila mara kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App.

Photos from Phesto Simba's post 18/03/2026

Tucheke kwanza 🤣🤣🤣

Photos from Phesto Simba's post 14/03/2026

Bodi ya Ligi Kuu imehairisha mchezo wa Ligi Kuu ambao ulipangwa kufanyika leo saa 10:00 jioni dhidi ya TRA United kwa kutumia Kanuni ya 34:1(1.4) ya Ligi Kuu kuhusu Kuahirisha mchezo na Kanuni ya 39:13 kuhusu Waamuzi, kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Arusha, hali iliyosababisha uwanja wa Sheikh Amri Abeid kutofaa kwa matumizi ya mchezo huo kwa mujibu wa Kanuni.

Asanteni kwa Wanasimba wote waliojitokea uwanjani kuja kutushangilia.

14/03/2026

Kikosi cha leo.

14/03/2026

Mnyama mawindoni dhidi ya wakusanya kodi.

11/03/2026

Yani wafungwe na 🐸 alafu wamzuie 🦁 hiyo jeuri wameitoa wapi?

Tumekula ndugu wa ile familia.

11/03/2026

Ouraaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥

11/03/2026
07/03/2026

Matokeo ni yaleyale ambayo na wao waliyategemea.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
PHESTOGERALD